Jf members!
SALAAM!
Ifahamike kwamba tunaishi ktk dunia inayokabiriwa na changamoto mbalimbali za kimaisha - kwamba changamoto hizi hutokana na kasi na mabadiliko ya ukuaji wa kiuchumi, kijamii...
wanabodi, si mnakumbuka bunge hilihili lilipitisha ule mkataba wa makubaliano ya awali ya DP world tena kwa kuupa promo kibao na kuusafisha, ili hali mkataba niwa hovyo.
Sasa najiuliza je...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , leo tarehe 29/8/2023 , amefika nyumbani kwa Mufti Zuberi kwa lengo la kuhani Msiba.
Ikumbukwe kwamba Mufti amepata...
WENZETU WAMEFUNGUKA KUZIONA FURSA, SISI BADO TUPO USINGIZINI, DP WORLD WANASHIKA HATAMU
Na Comrade Ally Maftah
Wakati wenzetu wanajiunganisha na dunia na kufurahia mema ya Dunia, sisi bado tupo...
Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga...
MAELFU ya wananchi wa mji wa Mwanhuzi, wilayani Meatu, mkoani Simiyu, wamehudhuria kwa wingi katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku aliyewahi kuwa mbunge wa...
Wanaomlilia Makamba Wanasema ameweza kusambaza Mitungi ya Gesi ya Majumbani nchi nzima hadi Vijijini
Ameendeleza ujenzi wa Bwawa la Nyerere hadi kufikia 93%
Ameondoa mgao wa Umeme na...
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.
Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na...
Nilinunua kifurushi cha wiki cha Airtel nikiwa safarini Marangu Moshi, nilipofika nikakuta Airtel haipatikani hivyo kifurushi kikaisha kwa muda niliokuwepo hapo! TCRA wao wanajionea sawa tu...
Katibu Mkuu wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa masuala ya ushirikiano kimataifa kutoka kampuni ya vinywaji vya Heineken Bw. Frank...
Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
RIP waandishi walio fariki kwenye ajari ya msafara wa mkuu wa Mkoa.
Turudi kwenye Maada, huwa sielewi inawezekana vipi waandishi wanadandia usafiri wa Viongozi na kwenda kureport habari zao.
Kwa...
Akihojiwa na mwandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha CHAUMA ameshangazwa sana na namna DP World walivyopewa bandari zetu.
Mzee Rungwe amesema bandari zetu zilishauzwa tangu day one rais...
Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe!
Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi...
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.
Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?
Mawaziri wa Katiba na Sheria...
DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya.
Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje tarehe 30 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar.
https://www.youtube.com/watch?v=CU8Y0ALcmVw...
Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.