Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 5,510
- 4,818
TEC walipata kutoa waraka kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa (resty easy amen).
TEC walipata kutoa waraka kipindi cha utawala wa awamu ya 5, kupinga kiitwacho uminywaji wa haki za binadamu na wigo wa demokrasia.
Hapa hoja ya UDINI inakaa pembeni.
Binafsi ninaamini kuwa TEC hawawapingi viongozi kwa muktadha wa dini zao....
Turejee nyuma.....
Ni sababu zipi zilipelekea wao kuwa kimya miaka yote 10 ya utawala wa hayati Benjamin Mkapa?
Je, utawala wake haukubinafsisha mashirika ya umma?
Je utawala wake haukuingia mikataba ya uwekezaji wa ndani na nje?
Je TICTS haikuanzishwa kipindi hiki ?!!!
TICTS ni kampuni iliyokuwa na ubia wa wazawa na wageni kutoka HONG KONG....
Ndani ya waraka wao huu wa juzi TEC wanatueleza kuwa kwa miaka 60 taifa letu halijawahi kupata mwekezaji wa bandari kutoka nje....
Kwa muktadha huu ni kuwa TEC wamekosea?
Kama sivyo huu UPOTOSHAJI kwa umma ni kwa manufaa ya nani ?!!
Uwekezaji wa TICTS ulikumbana na WARAKA wa kuupinga ?!!!
Ni kwanini?
Maswali ni mengi mno....
#SiempreJMT
#Tanzania Kwanza kabla ya nafsi zetu ,amen