Baada ya Uteuzi wa Dkt. Biteko kuwa Naibu Waziri mkuu Kanda ya Ziwa yazizima Mikutano ya Chadema yaanza kupotezewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude 😄

Mlale Unono!
 
B3DF8BAA-04A2-4645-A657-9C3BCE5BEBD6.jpeg
 
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dr Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude

Mlale Unono!
Umetudharau sana watu wa kanda ya Ziwa kuwa tunadanganyika kibwege hivyo,koma kabisa.
 
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dr Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude

Mlale Unono!
Malampaka saa 11 Jioni

Screenshot_2023-08-30-19-59-05-1.jpg
 
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude 😄

Mlale Unono!
na mauteuzi yenu ya kisiasa badala mfanye kazi mnawaza uchaguzi.
 
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude 😄

Mlale Unono!
Kanda ya ziwa sio wapumbavu kama akili zenu kama huamin fatilia mkutano wa lissu jana maswa hapajawahi kufanyika mkutano mkubwa kama huo toka uhuru halafu uteuzi wa makuwadi ya warabu dpworld ndio usababishe kuzizima kanda ya ziwa! only an imbecile can believe on that.
 
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude

Mlale Unono!
Futa huu ujinga wako watu tunakuheshimu.
 
Ikumbukwe Viongozi Wakuu wa Chadema wako kanda ya Serengeti kwa ajili ya Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari zetu

Inasemekana baada ya Dkt. Dotto Biteko kutangazwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri mkuu Mikutano ya Chadema umeanza kudoda

Hata hapa JF leo Habari za Serengeti zimekuja kwa uchache sana na Elythrocyte amekimbilia Kyela kuungana na akina Mwabukusi na Mdude 😄

Mlale Unono!
Umeleta kiumbea umbea
 
CHADEMA ni national agenda, inawafungua akili hadi wana CCM
 
Back
Top Bottom