Orodha Ya marais Waliokaa Madarakani kwa Muda Mrefu Barani Afrika

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Marais saba wa nchi saba za Afrika ambao wamedumu kwa muda mrefu,Madarakani mpaka sasa.

1-Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (Miaka-44 )Equatorial Guinea .

2-Paul Biya (Miaka-42 )
Cameroon .

3-Denis Sassou Nguesso (Miaka-36)
Congo Brazzaville

4-Mfalme Mswati III
(Miaka- 36)
Lesotho .

5-Yoweri Museveni (Miaka35)
Uganda .

6-Isaias Afwerki (Miaka-30)Eritrea .

7-Paul Kagame (Miaka-23)
Rwanda

Ndio sababu wananchi wanaingia mabarabarani huko west Africa pale linapotokea la kutokea mfano hai ni
Gabon Ambapo familia ya Omari Bongo (R.I.P) imekuwa ikitawala kwa kupokezana kwa jumla ya miaka- 56.

Hadi leo ambapo wameua iwe mbwai.
Wamemtoa Rais Ally Bongo mtoto wa Marehemu Omar Bongo Aliyekuwa Rais wa nchi hiyo .
Kabla ya mwanae kuchukua nafasi yake, ni baada ya kifo cha baba yake.
 
Hao namba 1, 2,3 nchi zina resources kibao wananchi maskini wa kutupwa.
Na nchi za Magharibi hususan Ufaransa. hazikuwapigia kelele,sababu ziliwatumia na zinaendelea kuwatumia kwa kujinufausha na mali asili na madini yaliyorundikana huko.
Ikiwa ni Pamoja na Mafuta.

Mfano ...Niger ndio nchi yenye Uranium kwa wingi barani Afrika.
Na Ulaya na Marekani walikuwa wanajichote kama bure.
Ndio maana unasikia kelele za ECOWAS.
Hao ni puppets wa nchi za magharibi ili kikaragosi wao arudi.
Ili waendelee kupeta.
 
Sijui kwanini wanamchelewesha hadi sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom