Kila awamu ya Rais na chukizo lake kwa Wananchi

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Wadau nawasabahi. Awamu ni vipindi vya Utawala wa Rais wa Nchi kwa Tanzania ni Miaka 5.

Wahenga walisema kila Kitabu na zama zake na mimi nasema kila AWAMU na CHUKIZO lake.Leo nataka nitaje MACHUKIZO ya Awamu ya 5 na Awamu ya 6

MACHUKIZO ya Awamu ya 5 ni mengi sana kupita AWAMU zote zilizopita mpaka hii tuliopo na kila MWANANCHI anazijua zikiwemo za

Uvunjaji wa Katiba kwa Makusudi
Wabunge fake 19
Kuzuia Mikutano ya Vyama
UTEKAJI
KUBAMBIKIZIA KESI
KIPIGA RISASI
PLEA BARGAING

UCHAFUZI WA CHAGUZI Kutokuajiri na Kutokuongeza Mishahara na Pensheni n.k Hayo yote yalikuwa MACHUKIZO kwa WANANCHI

Awamu ya 6 MACHUKIZO yake mpaka sasa ni BEI za VYAKULA KUPANDA Ajira

UFISADI MKUBWA wa Fedha za UMMA na WEZI kutokukamatwa kwani Fedha ambazo WAMEIBA zingeweza kutumika KUAJIRI na kushusha Mfumuko wa BEI ya VYAKULA

Tunaiomba SERIKALI ya Awamu ya 6 ya RAIS SAMIA ishungulikie Mambo ambayo ni MACHUKUZO kwa WANANCHI kwani Uwezo wa KUWAKAMATA na KUWASHTAKI Wezi wa Fedha za UMMA inao.
 
Mara Elfu mtu anayevunja katiba na na kufunga midomo wajinga wajinga kwa maslahi ya wengi ili watu wasikose umeme maji chakula n.k Kuliko anayejifanya mstaarabu huku wananchi wakiteseka na bei ya bidhaa migao maji umeme huku wanasiasa pekee wakinufaika na wachache wakilamba asali.Kwangu mimi huyu ni zaidi ya muuaji.Ni TAKATAKA kabisa.
 
Machikizo awamu ya 6 ni mengi
WIZI
KULAMBA ASALI
MARIDHIANO
MFUMUKO WA BEI
TOZO
MIKOPO
KUTOKUWAJIBIKA
TEUZI
MGAO MAJI/UMEME
RIPOTI MBAYA CAG
endeleeni
Wizi
Ufisadi
Uzinzi Ikulu
Ubakaji
Ulawiti
Mauaji
Uchawa
Uongo
Maridhiano(asali)
Ushirikina (uchifu)
Uzandiki
Ziara uchwara
Hafla
Semina
Birthday party
Sherehe (Pongezi)
Uharamia
Ukengeukaji
Ufiraji
Ushoga
Tamaa
Ubinafsi
Dharau(wanyonge)
Ubaguzi
Ujeuri
Ulafi
Kiburi
Ujambazi
.
.
.
.
.
 
Back
Top Bottom