Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,502
51,098
Ndugu Rais
Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano.

Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite awamu ya Rais huyo kuwa ni awamu imepita na eti anayechukua nafasi tuseme eti ni awamu nyingine. Kwa hiyo kwa hoja hii naamini mimi niko sahihi kabisa kusema kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu lakini anayekamilisha awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.

Hata hivyo unaweza kukamilisha dhana ya kuwa Rais wa awamu ya sita iwapo utafanya yafuatayo

1. Unda serikali yako.
Mpaka hivi sasa, umeweka viraka tu katika serikali ya Magufuli, bado hujaunda serikali yako. Kwa hiyo sasa pengine wanaokuona kuwa unakamilisha awamu ya Magufuli wako sahihi. Na namna ya kuunda Serikali mpya lazima uiondoe iliyopo chini ya Waziri Mkuu aliyepo na kuiunda upya kwa kuteua jina la Waziri mkuu na kulipeleka bungeni lipigiwe kura. So far hujafanya hivyo, bado uko na waziri mkuu aliyeapishwa na Magufuli, kwa hiyo wewe Mama Samia unakamilisha ngwe ya Magufuli

2. Rais Samia, una kila sababu za kubadili serikali.

i) Serikali yako ya sasa chini ya waziri mkuu wa Magufuli imefeli.

Kwa sasa kila kona ya nchi kuna vilio. Nataka nikwambie tu ndugu rais kwamba, ulipoingia madarakani ulikong'a nyoyo za wananchi lakini ukaharibu mambo kwa hatua zifuatazo
a. Kumkamata Mbowe na kumfungulia mashitaka ya magumashi, raia wakachukia sana

b. Operesheni yako ya wamachinga, uliwatibua nyongo watu wa chini sana. Hatusemi kuwa wamachinga wasipangwe, bali tunasema kabla hujafanya zoezi hilo ni lazima uwape watu alternatives. Hii nchi ni ya watu masikini, watu wanatafuta mlo wao mmoja kwa siku, ukidisturb hiyo bila kuwapa watu alternative lazima wakuchukie.

c. Tozo za miamala ya simu, wananchi siyo kwamba hawataki kulipa kodi, bali wasikamuliwe mpaka waanze kutoa damu. Halafu kinachowatia hasira ni kuona serikali yako haifanyi juhudi za kutosha kubana matumizi kwenye vitu kama makongamano, warsha, Magari ya ma VX. Na kibaya zaidi Waziri wako wa fedha anakuja na nyodo za kuwaambia wananchi kuwa kama hawataki tozo waende burundi. Hii ni dharau kubwa sana!

d. Mfumuko wa bei, umekuwa ni mkubwa sana. Maisha yanazidi kuwa ghali

e. Tozo za mabenki, nazo zimegongelea msumari kwenye hasira za watu maana hii ni double taxation.

f. Ubabe wa serikali yako dhidi ya wananchi wamasai nayo ilichukiza wananchi sana. Watu wanajua kuwa Loliondo kuna watu, vigogo wana maslahi napo, sasa wananchi wanapoona majeshi uanaenda kupiga wananchi na kuwatoa kwenye ardhi yao bila kufuata taratibu za sheria inaleta chuki kubwa kwa serikali yako

g. Kuendelea kwa serikali yako kuwakumbatia wabunge 19 feki. Unaweza kudhani labda unailinda serikali yako, lakini watu wanaona jinsi unavyokumbatia uvunjifu wa katiba uliyoapa kuilinda na lawama zinakuja kwako na serikali yako. Kiufupi serikali yako bado inatenga bajeti ya kuwalipa wabunge haramu 19. Hizi ni kodi na jasho la wananchi!

3. Waziri mkuu wa sasa hakusaidii ipasavyo
a) Anashikilia nafasi ya uwaziri mkuu kinyume cha katiba.

Katiba iko wazi, Ibara ya 51 inasema kuwa Mtu anapoapishwa kushika nafasi ya urais basi rais huyo ndani ya siku 14 atapeleka jina la waziri mkuu bungeni lijapigiwe kura. Sasa ni lini wewe ndugu rais baada ya kuapishwa ulipeleka jina la waziri mkuu bungeni likapigiwe kura?-Hatusemi kuwa ni lazima ungembadilisha wakati huo, lakini tunasema kuwa angalau ungerudisha jina lake bungeni likapigiwe kura. Mheshimiwa rais hukufanya hivyo, kwa hiyo ulivunja katiba, na Waziri mkuu huyu wa sasa hayupo madarakani kwa mujibu wa katiba!

b) Waziri mkuu huyu kwanza hajapigiwa kura na wananchi, alipita bila kupingwa tena kwa rafu.
Pamoja na kwamba sheria inatambua mtu aliyepita bila kupingwa ni kama vile kachaguliwa lakini ni aibu Waziri mkuu atumie njia za kibabe ili kupita bila kupingwa, halafu mtu huyo aje awe waziri mkuu wa wananchi!. Hii inaonyesha kuwa kwanza siyo mtu honest na anaweza kufanya lolote ili ashike power. Sasa mtu kama huyu asiyetokana na ridhaa ya wananchi hata huko jimboni ndugu rais naamini mtu huyo kwa sasa siyo choice sahihi kwako.

c) Heshima ya waziri mkuu katika jamii imeshuka
Wananchi bado wanakumbuka kauli yake tena aliyoitoa msikitini kuwa rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wakati anasema hayo, rais alikuwa ni mgonjwa na anapigania maisha yake. Wananchi huwa hawasahau kauli hii, na hivyo heshima ya waziri mkuu ilishuka kwa kiwango kikubwa.

d) Waziri mkuu ni bingwa wa kuunda tume ambazo huwa hazileti mrejesho kwa wananchi.

e) Chini ya uongozi wa waziri mkuu huyu wa sasa ufisadi na upigaji wa pesa za umma bado ni mkubwa sana. Ripoti za CAG zimeonyesha hali halisi kuwa bado kuna ubadhirifu mkubwa sana. Wananchi wanajiuliza, Hivi haya mambo ya watu kupigapiga hela yangewezekana chini ya waziri mkuu Sokoine?, Au Waziri mkuu Kawawa Simba wa vita?- Sasa haya mambo yatapungua lini, maana ripoti za CAG zinaonyesha watu wanakula bila kunawa!.

f) Mfumuko wa bei uko juu, bidhaa bei ni ghali sana, maisha ni magumu. Waziri mkuu yuko wapi?
Ziko wapi ziara za waziri mkuu kwenye masoko?, mashambani?, minadani?, viwandani?. Haya ndiyo mambo ambayo wananchi wanayakumbuka kwa hayati Sokoine au Simba wa vita!. Tunataka Waziri mkuu atakayekwenda Field, siyo yule wa kukutana na wakurugenzi wa halmashauri kwenye makumbi yaliyosheheni viyoyozi!.

g) Waziri mkuu ameshindwa kuthibiti nidhamu ya mawaziri wake.
Kuna waziri mmoja anawaambia Watanzania kama hawataki tozo waende burundi!. Na waziri mkuu yuko kimya, hamlazimishi waziri husika aombe wananchi radhi kwa kauli hiyo ya kejeli na dhihaka kubwa kabisa, Au waziri mkuu husika hatokei hadharani kukemea!. Sasa hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo.

Nahitimisha
Ndugu Rais, uzuri wa mfumo wetu ni kuwa serikali ikifanikiwa credit zinakuja kwako, lakini ikifeli responsibility na lawama zinarudi kwako.

Nakushauri, Badili hii serikali ili mambo yaende. Achana na cosmetic changes, Vunja hili baraza la Mawaziri, uunde serikali ambayo tunaweza kuuita ya awamu ya Sita. Tengeneza serikali yako mwenyewe. Serikali itakayozingatia MERITOCRACY na siyo Ukada au Kujuana!

Nawasilisha!
 
Kuna naona mawili.

1. Anataka kwenda na Majaliwa mpaka 2025 ili kama akichaguliwa tena, ndio atafute Waziri Mkuu mwingine aunde serikali yake vizuri. Hapa ndipo zilizuka tetesi za Makamba.

2. Kama hataendelea beyond 2025, anataka kumalizia kipindi chake na Majaliwa, ili akiondoka, waondoke wote.
 
Majaliwa ni pretender zaidi kuliko mtendaji mwenye tija! Upigaji wa fedha za umma ni mwingi sana, Majaliwa kashindwa kumsaidia rais ktk hili
 
Hapa ndio huwa siwaelewi, sasa kama Rais anamuona Majaliwa hafai kwenye hiyo nafasi yake kwanini asimuondoe?

Mna tabia za kuficha matatizo ndio maana inachukua muda solution kupatikana, tunaishi nayo mpaka tunayazoea kuwa sehemu ya maisha yetu.
 
Wana ccm ni walewale, atapata wapi watu wapya watakaochukua nafasi za hawa?

Btw the madam is incompetent.
 
Ndugu Rais.
Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano.

Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite awamu ya Rais huyo kuwa ni awamu imepita na eti anayechukua nafasi tuseme eti ni awamu nyingine. Kwa hiyo kwa hoja hii naamini mimi niko sahihi kabisa kusema kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu lakini anayekamilisha awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.

Hata hivyo unaweza kukamilisha dhana ya kuwa Rais wa awamu ya sita iwapo utafanya yafuatayo

1. Unda serikali yako.
Mpaka hivi sasa, umeweka viraka tu katika serikali ya Magufuli, bado hujaunda serikali yako. Kwa hiyo sasa pengine wanaokuona kuwa unakamilisha awamu ya Magufuli wako sahihi. Na namna ya kuunda Serikali mpya lazima uiondoe iliyopo chini ya Waziri Mkuu aliyepo na kuiunda upya kwa kuteua jina la Waziri mkuu na kulipeleka bungeni lipigiwe kura. So far hujafanya hivyo, bado uko na waziri mkuu aliyeapishwa na Magufuli, kwa hiyo wewe Mama Samia unakamilisha ngwe ya Magufuli

2. Rais Samia, una kila sababu za kubadili serikali.

i) Serikali yako ya sasa chini ya waziri mkuu wa Magufuli imefeli.

Kwa sasa kila kona ya nchi kuna vilio. Nataka nikwambie tu ndugu rais kwamba, ulipoingia madarakani ulikong'a nyoyo za wananchi lakini ukaharibu mambo kwa hatua zifuatazo
a. Kumkamata Mbowe na kumfungulia mashitaka ya magumashi, raia wakachukia sana

b. Operesheni yako ya wamachinga, uliwatibua nyongo watu wa chini sana. Hatusemi kuwa wamachinga wasipangwe, bali tunasema kabla hujafanya zoezi hilo ni lazima uwape watu alternatives. Hii nchi ni ya watu masikini, watu wanatafuta mlo wao mmoja kwa siku, ukidisturb hiyo bila kuwapa watu alternative lazima wakuchukie.

c. Tozo za miamala ya simu, wananchi siyo kwamba hawataki kulipa kodi, bali wasikamuliwe mpaka waanze kutoa damu. Halafu kinachowatia hasira ni kuona serikali yako haifanyi juhudi za kutosha kubana matumizi kwenye vitu kama makongamano, warsha, Magari ya ma VX. Na kibaya zaidi Waziri wako wa fedha anakuja na nyodo za kuwaambia wananchi kuwa kama hawataki tozo waende burundi. Hii ni dharau kubwa sana!

d. Mfumuko wa bei, umekuwa ni mkubwa sana. Maisha yanazidi kuwa ghali

e. Tozo za mabenki, nazo zimegongelea msumari kwenye hasira za watu maana hii ni double taxation.

f. Ubabe wa serikali yako dhidi ya wananchi wamasai nayo ilichukiza wananchi sana. Watu wanajua kuwa Loliondo kuna watu, vigogo wana maslahi napo, sasa wananchi wanapoona majeshi uanaenda kupiga wananchi na kuwatoa kwenye ardhi yao bila kufuata taratibu za sheria inaleta chuki kubwa kwa serikali yako

g. Kuendelea kwa serikali yako kuwakumbatia wabunge 19 feki. Unaweza kudhani labda unailonda serikali yako, lakini watu wanaona jinsi unavyokumbatia uvunjifu wa katiba uliyoapa kuilinda na lawama zinakuja kwako na serikali yako. Kiufupi serikali yako bado inatenga bajeti ya kuwalipa wabunge haramu 19. Hizi ni kodi na jasho la wananchi!

3. Waziri mkuu wa sasa hakusaidii ipasavyo

a) Anashikilia nafasi ya uwaziri mkuu kinyume cha katiba.

Katiba iko wazi, Ibara ya 51 inasema kuwa Mtu anapoapishwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu basi rais huyo ndani ya siku 14 atapeleka jina la waziri mkuu bungeni lijapigiwe kura. Sasa ni lini wewe ndugu rais baada ya kuapishwa ulipeleka jina la waziri mkuu bungeni likapigiwe kura?-Hatusemi kuwa ni lazima ungembadilisha wakati huo, lakini tunasema kuwa anagalau ungerudisha jina lake bungeni likapigiwe kura. Mheshimiwa rais hukufanya hivyo, kwa hiyo ulivunja katiba, na Waziri mkuu huyu wa sasa hayupo madarakani kwa mujibu wa katiba!

b) Waziri mkuu huyu kwanza hajapigiwa kura na wananchi, alipita bila kupingwa tena kwa rafu
Pamoja na kwamba sheria inatambua mtu aliyepita bila kupingwa ni kama vile kachaguliwa lakini ni aibu Waziri mkuu atumie njia za kibabe kupita bila kupingwa, halafu aje awe waziri mkuu wa wananchi!. Hii inaonyesha kuwa kwanza siyo mtu honest na anaweza kufanya lolote ili ashike power. Sasa mtu kama huyu asiytokana na ridhaa ya wananchi hata huko jimboni naamini kwa sasa siyo choice sahihi kwako

c) Heshima ya waziri mkuu katika jamii imeshuka

Wananchi bado wanakumbuka kauli yake tena aliyoitoa msikitini kuwa rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wakati anasema hayo, rais alikuwa ni mgonjwa na anapigania maisha yake. Wananchi huwa hawasahau kauli hii, na hivyo heshima ya waziri mkuu ilishuka kwa kiwango kikubwa

d) Waziri mkuu ni bingwa wa kuunda tume ambazo huwa hazileti mrejesho kwa wananchi.

e) Chini ya uongozi wa waziri mkuu huyu wa sasa ufisadi na upigaji wa pesa za umma bado ni mkubwa sana. Ripoti za CAG zimeonyesha hali halisi kuwa bado kuna ubadhirifu mkubwa sana. Wananchi wanajiuliza, Hivi haya mambo ya watu kupigapiga hela yangewezekana chini ya waziri mkuu Sokoine?, Au Waziri mkuu Kawawa Simba wa vita?- Sasa haya mambo yatapungua lini, maana ripoti za CAG zinaonyesha watu wanakula bila kunawa!

f) Mfumuko wa bei uko juu, bidhaa bei ni ghali sana, maisha ni magumu. Waziri mkuu yuko wapi?
Ziko wapi ziara za waziri mkuu kwenye masoko?, mashambani?, minadani?, viwandani?. Haya ndiyo mambo ambayo wananchi wanayakumbuka kwa hayati Sokoine au Simba wa vita!. Tunataka Waziri mkuu atakayekwenda Field, siyo yule wa kukutana na wakurugenzi wa halmashauri kwenye makumbi yaliyosheheni viyoyozi!

g) Waziri mkuu ameshindwa kuthibiti nidhamu ya mawaziri wake.
Kuna waziri mmoja anawaambia Watanzania kama hawataki tozo waende burundi!. Na waziri mkuu yuko kimya, hamlazimishi waziri husika aombe wananchi radhi kwa kauli hiyo ya kejeli na dhihaka kubwa kabisa, Au waziri mkuu husika hatokei hadharani kukemea!. Sasa hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo.

Nahitimisha
Ndugu Rais, uzuri wa mfumo wetu ni kuwa serikali ikifanikiwa credit zinakuja kwako, lakini ikifeli responsibility na lawama zinarudi kwako.

Badili hii serikali ili mambo yaende. Achana na cosmetic change, Vunja hili baraza la Mawaziri, uunde serikali ambayo tunaweza kuuita ya awamu ya Sita. Tengeneza serikali yako mwenyewe. Serikali itakayozingatia MERITOCRACY na siyo Ukada au Kujuana!
Hii hoja imetoka hapo ufipani ,mbowe amelama asali wewe ni nani kulialia

USSR
 
Kipindi ameingia Madarakani alitakiwa kuvunja bunge, na uchaguzi wa wabunge, madiwani, kifanyika upya, Wala asingekua anaumiza kichwa, hata Kama ingetokea ccm wengi poteza viti, ila bado ingemsaidia Sana, tulimshauri lakin

Sasa unajikuta una watu wa aina flani bungeni, wote ni sawa tofauti ni majina unafanyaje? Unateua hivyohivyo ilimradi liende,
Hakuna namna anaweza unda serikali nzuri KWa aina ya bunge lilipo,
Cha msingi tu ajiandae kabidhi serikali KWa bashasha 2025, uchaguzi ukifanyika
 
Yaani ningekutana na mama SSH ningemshauri mawaziri 4 ambao wanatakiwa kuwa out haraka sana kunusuru serikali yake.
 
baada ya kifo cha jpm,raisi alipendekeza jina la waziri mkuu mpya ambaye alikuwa yuleyule wa zamani,alafu kufeli kwa kila kitu katika nchi hii,lawama zote apewe mkuu wa nchi kwa kushindwa kuwasimamia mawaziri wake,mpaka sasa pesa zote hazifanyi maendeleo yeyote zinaishia kwenye mifuko yao wenyewe
 
Ndugu Rais.
Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano.

Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite awamu ya Rais huyo kuwa ni awamu imepita na eti anayechukua nafasi tuseme eti ni awamu nyingine. Kwa hiyo kwa hoja hii naamini mimi niko sahihi kabisa kusema kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu lakini anayekamilisha awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.

Hata hivyo unaweza kukamilisha dhana ya kuwa Rais wa awamu ya sita iwapo utafanya yafuatayo

1. Unda serikali yako.
Mpaka hivi sasa, umeweka viraka tu katika serikali ya Magufuli, bado hujaunda serikali yako. Kwa hiyo sasa pengine wanaokuona kuwa unakamilisha awamu ya Magufuli wako sahihi. Na namna ya kuunda Serikali mpya lazima uiondoe iliyopo chini ya Waziri Mkuu aliyepo na kuiunda upya kwa kuteua jina la Waziri mkuu na kulipeleka bungeni lipigiwe kura. So far hujafanya hivyo, bado uko na waziri mkuu aliyeapishwa na Magufuli, kwa hiyo wewe Mama Samia unakamilisha ngwe ya Magufuli

2. Rais Samia, una kila sababu za kubadili serikali.

i) Serikali yako ya sasa chini ya waziri mkuu wa Magufuli imefeli.

Kwa sasa kila kona ya nchi kuna vilio. Nataka nikwambie tu ndugu rais kwamba, ulipoingia madarakani ulikong'a nyoyo za wananchi lakini ukaharibu mambo kwa hatua zifuatazo
a. Kumkamata Mbowe na kumfungulia mashitaka ya magumashi, raia wakachukia sana

b. Operesheni yako ya wamachinga, uliwatibua nyongo watu wa chini sana. Hatusemi kuwa wamachinga wasipangwe, bali tunasema kabla hujafanya zoezi hilo ni lazima uwape watu alternatives. Hii nchi ni ya watu masikini, watu wanatafuta mlo wao mmoja kwa siku, ukidisturb hiyo bila kuwapa watu alternative lazima wakuchukie.

c. Tozo za miamala ya simu, wananchi siyo kwamba hawataki kulipa kodi, bali wasikamuliwe mpaka waanze kutoa damu. Halafu kinachowatia hasira ni kuona serikali yako haifanyi juhudi za kutosha kubana matumizi kwenye vitu kama makongamano, warsha, Magari ya ma VX. Na kibaya zaidi Waziri wako wa fedha anakuja na nyodo za kuwaambia wananchi kuwa kama hawataki tozo waende burundi. Hii ni dharau kubwa sana!

d. Mfumuko wa bei, umekuwa ni mkubwa sana. Maisha yanazidi kuwa ghali

e. Tozo za mabenki, nazo zimegongelea msumari kwenye hasira za watu maana hii ni double taxation.

f. Ubabe wa serikali yako dhidi ya wananchi wamasai nayo ilichukiza wananchi sana. Watu wanajua kuwa Loliondo kuna watu, vigogo wana maslahi napo, sasa wananchi wanapoona majeshi uanaenda kupiga wananchi na kuwatoa kwenye ardhi yao bila kufuata taratibu za sheria inaleta chuki kubwa kwa serikali yako

g. Kuendelea kwa serikali yako kuwakumbatia wabunge 19 feki. Unaweza kudhani labda unailonda serikali yako, lakini watu wanaona jinsi unavyokumbatia uvunjifu wa katiba uliyoapa kuilinda na lawama zinakuja kwako na serikali yako. Kiufupi serikali yako bado inatenga bajeti ya kuwalipa wabunge haramu 19. Hizi ni kodi na jasho la wananchi!

3. Waziri mkuu wa sasa hakusaidii ipasavyo

a) Anashikilia nafasi ya uwaziri mkuu kinyume cha katiba.

Katiba iko wazi, Ibara ya 51 inasema kuwa Mtu anapoapishwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu basi rais huyo ndani ya siku 14 atapeleka jina la waziri mkuu bungeni lijapigiwe kura. Sasa ni lini wewe ndugu rais baada ya kuapishwa ulipeleka jina la waziri mkuu bungeni likapigiwe kura?-Hatusemi kuwa ni lazima ungembadilisha wakati huo, lakini tunasema kuwa anagalau ungerudisha jina lake bungeni likapigiwe kura. Mheshimiwa rais hukufanya hivyo, kwa hiyo ulivunja katiba, na Waziri mkuu huyu wa sasa hayupo madarakani kwa mujibu wa katiba!

b) Waziri mkuu huyu kwanza hajapigiwa kura na wananchi, alipita bila kupingwa tena kwa rafu
Pamoja na kwamba sheria inatambua mtu aliyepita bila kupingwa ni kama vile kachaguliwa lakini ni aibu Waziri mkuu atumie njia za kibabe kupita bila kupingwa, halafu aje awe waziri mkuu wa wananchi!. Hii inaonyesha kuwa kwanza siyo mtu honest na anaweza kufanya lolote ili ashike power. Sasa mtu kama huyu asiytokana na ridhaa ya wananchi hata huko jimboni naamini kwa sasa siyo choice sahihi kwako

c) Heshima ya waziri mkuu katika jamii imeshuka

Wananchi bado wanakumbuka kauli yake tena aliyoitoa msikitini kuwa rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wakati anasema hayo, rais alikuwa ni mgonjwa na anapigania maisha yake. Wananchi huwa hawasahau kauli hii, na hivyo heshima ya waziri mkuu ilishuka kwa kiwango kikubwa

d) Waziri mkuu ni bingwa wa kuunda tume ambazo huwa hazileti mrejesho kwa wananchi.

e) Chini ya uongozi wa waziri mkuu huyu wa sasa ufisadi na upigaji wa pesa za umma bado ni mkubwa sana. Ripoti za CAG zimeonyesha hali halisi kuwa bado kuna ubadhirifu mkubwa sana. Wananchi wanajiuliza, Hivi haya mambo ya watu kupigapiga hela yangewezekana chini ya waziri mkuu Sokoine?, Au Waziri mkuu Kawawa Simba wa vita?- Sasa haya mambo yatapungua lini, maana ripoti za CAG zinaonyesha watu wanakula bila kunawa!

f) Mfumuko wa bei uko juu, bidhaa bei ni ghali sana, maisha ni magumu. Waziri mkuu yuko wapi?
Ziko wapi ziara za waziri mkuu kwenye masoko?, mashambani?, minadani?, viwandani?. Haya ndiyo mambo ambayo wananchi wanayakumbuka kwa hayati Sokoine au Simba wa vita!. Tunataka Waziri mkuu atakayekwenda Field, siyo yule wa kukutana na wakurugenzi wa halmashauri kwenye makumbi yaliyosheheni viyoyozi!

g) Waziri mkuu ameshindwa kuthibiti nidhamu ya mawaziri wake.
Kuna waziri mmoja anawaambia Watanzania kama hawataki tozo waende burundi!. Na waziri mkuu yuko kimya, hamlazimishi waziri husika aombe wananchi radhi kwa kauli hiyo ya kejeli na dhihaka kubwa kabisa, Au waziri mkuu husika hatokei hadharani kukemea!. Sasa hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo.

Nahitimisha
Ndugu Rais, uzuri wa mfumo wetu ni kuwa serikali ikifanikiwa credit zinakuja kwako, lakini ikifeli responsibility na lawama zinarudi kwako.

Badili hii serikali ili mambo yaende. Achana na cosmetic change, Vunja hili baraza la Mawaziri, uunde serikali ambayo tunaweza kuuita ya awamu ya Sita. Tengeneza serikali yako mwenyewe. Serikali itakayozingatia MERITOCRACY na siyo Ukada au Kujuana!
Ushauri wa kijinga; aunde serikali yake kutokea Zanzibar au?

Kwa namna wananchi wanavyoona waziri mkuu aliyepo kwa sasa ndiye anapambana sana na uharifu ila hana support kutoka kwa mkuu wake maana anaoonekana yeye pekee ndiye anapambana na watusmishi wasio na maadili lakini mwingine yeye ni kwenye jukwaa tu nendeni mkayatizame......!!!

Soma katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania 1977 ibara 51-57 hapo ndipo utajua pendekezo lako ni batili kwa kuwa halitekelezeki. Rais alyepo hakupigiwa kura ila alibebwa na matakwa ya katiba kwamba endapo anayegombea urais atashinda basi na makamu naye anakuwa pia ameshinda. Je, wataka baraza la mawaziri wote livunjwe kisha uchaguzi ufanyike? Je, unataka rais apeleke pendekezo kwenye bunge ya kutokuwa na imani na waziri mkuu kwa sababu zipi? Je, wabunge wenyewe ndio waanzishe hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu? Je, wajua kufanya hivyo kunapelekea baraza la mawaziri kuvunjwa? link: https://www.orpp.go.tz/uploads/publ...URI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2000.pdf
 
Nililoliona kwa Rais huyu kushindwa kuunda baraza jipya la watu makini ni kutokana na kutokuwa na Bunge lenye watu makini wa kutosha kupata mawaziri bora.
Bunge hili la hovyo lilitengenezwa na Magufuli baada ya kupora uchaguzi 2020 na kuweka aliowataka ambao zaidi ya 2/3 ni wa hovyohovyo kabisa.
Hii nchi kwa sasa inafaa kuifanyia overhaul yote yaani hata yeye aondoke kabisa
 
Ndugu Rais.
Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano.

Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite awamu ya Rais huyo kuwa ni awamu imepita na eti anayechukua nafasi tuseme eti ni awamu nyingine. Kwa hiyo kwa hoja hii naamini mimi niko sahihi kabisa kusema kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu lakini anayekamilisha awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.

Hata hivyo unaweza kukamilisha dhana ya kuwa Rais wa awamu ya sita iwapo utafanya yafuatayo

1. Unda serikali yako.
Mpaka hivi sasa, umeweka viraka tu katika serikali ya Magufuli, bado hujaunda serikali yako. Kwa hiyo sasa pengine wanaokuona kuwa unakamilisha awamu ya Magufuli wako sahihi. Na namna ya kuunda Serikali mpya lazima uiondoe iliyopo chini ya Waziri Mkuu aliyepo na kuiunda upya kwa kuteua jina la Waziri mkuu na kulipeleka bungeni lipigiwe kura. So far hujafanya hivyo, bado uko na waziri mkuu aliyeapishwa na Magufuli, kwa hiyo wewe Mama Samia unakamilisha ngwe ya Magufuli

2. Rais Samia, una kila sababu za kubadili serikali.

i) Serikali yako ya sasa chini ya waziri mkuu wa Magufuli imefeli.

Kwa sasa kila kona ya nchi kuna vilio. Nataka nikwambie tu ndugu rais kwamba, ulipoingia madarakani ulikong'a nyoyo za wananchi lakini ukaharibu mambo kwa hatua zifuatazo
a. Kumkamata Mbowe na kumfungulia mashitaka ya magumashi, raia wakachukia sana

b. Operesheni yako ya wamachinga, uliwatibua nyongo watu wa chini sana. Hatusemi kuwa wamachinga wasipangwe, bali tunasema kabla hujafanya zoezi hilo ni lazima uwape watu alternatives. Hii nchi ni ya watu masikini, watu wanatafuta mlo wao mmoja kwa siku, ukidisturb hiyo bila kuwapa watu alternative lazima wakuchukie.

c. Tozo za miamala ya simu, wananchi siyo kwamba hawataki kulipa kodi, bali wasikamuliwe mpaka waanze kutoa damu. Halafu kinachowatia hasira ni kuona serikali yako haifanyi juhudi za kutosha kubana matumizi kwenye vitu kama makongamano, warsha, Magari ya ma VX. Na kibaya zaidi Waziri wako wa fedha anakuja na nyodo za kuwaambia wananchi kuwa kama hawataki tozo waende burundi. Hii ni dharau kubwa sana!

d. Mfumuko wa bei, umekuwa ni mkubwa sana. Maisha yanazidi kuwa ghali

e. Tozo za mabenki, nazo zimegongelea msumari kwenye hasira za watu maana hii ni double taxation.

f. Ubabe wa serikali yako dhidi ya wananchi wamasai nayo ilichukiza wananchi sana. Watu wanajua kuwa Loliondo kuna watu, vigogo wana maslahi napo, sasa wananchi wanapoona majeshi uanaenda kupiga wananchi na kuwatoa kwenye ardhi yao bila kufuata taratibu za sheria inaleta chuki kubwa kwa serikali yako

g. Kuendelea kwa serikali yako kuwakumbatia wabunge 19 feki. Unaweza kudhani labda unailonda serikali yako, lakini watu wanaona jinsi unavyokumbatia uvunjifu wa katiba uliyoapa kuilinda na lawama zinakuja kwako na serikali yako. Kiufupi serikali yako bado inatenga bajeti ya kuwalipa wabunge haramu 19. Hizi ni kodi na jasho la wananchi!

3. Waziri mkuu wa sasa hakusaidii ipasavyo

a) Anashikilia nafasi ya uwaziri mkuu kinyume cha katiba.

Katiba iko wazi, Ibara ya 51 inasema kuwa Mtu anapoapishwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu basi rais huyo ndani ya siku 14 atapeleka jina la waziri mkuu bungeni lijapigiwe kura. Sasa ni lini wewe ndugu rais baada ya kuapishwa ulipeleka jina la waziri mkuu bungeni likapigiwe kura?-Hatusemi kuwa ni lazima ungembadilisha wakati huo, lakini tunasema kuwa anagalau ungerudisha jina lake bungeni likapigiwe kura. Mheshimiwa rais hukufanya hivyo, kwa hiyo ulivunja katiba, na Waziri mkuu huyu wa sasa hayupo madarakani kwa mujibu wa katiba!

b) Waziri mkuu huyu kwanza hajapigiwa kura na wananchi, alipita bila kupingwa tena kwa rafu
Pamoja na kwamba sheria inatambua mtu aliyepita bila kupingwa ni kama vile kachaguliwa lakini ni aibu Waziri mkuu atumie njia za kibabe kupita bila kupingwa, halafu aje awe waziri mkuu wa wananchi!. Hii inaonyesha kuwa kwanza siyo mtu honest na anaweza kufanya lolote ili ashike power. Sasa mtu kama huyu asiytokana na ridhaa ya wananchi hata huko jimboni naamini kwa sasa siyo choice sahihi kwako

c) Heshima ya waziri mkuu katika jamii imeshuka

Wananchi bado wanakumbuka kauli yake tena aliyoitoa msikitini kuwa rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wakati anasema hayo, rais alikuwa ni mgonjwa na anapigania maisha yake. Wananchi huwa hawasahau kauli hii, na hivyo heshima ya waziri mkuu ilishuka kwa kiwango kikubwa

d) Waziri mkuu ni bingwa wa kuunda tume ambazo huwa hazileti mrejesho kwa wananchi.

e) Chini ya uongozi wa waziri mkuu huyu wa sasa ufisadi na upigaji wa pesa za umma bado ni mkubwa sana. Ripoti za CAG zimeonyesha hali halisi kuwa bado kuna ubadhirifu mkubwa sana. Wananchi wanajiuliza, Hivi haya mambo ya watu kupigapiga hela yangewezekana chini ya waziri mkuu Sokoine?, Au Waziri mkuu Kawawa Simba wa vita?- Sasa haya mambo yatapungua lini, maana ripoti za CAG zinaonyesha watu wanakula bila kunawa!

f) Mfumuko wa bei uko juu, bidhaa bei ni ghali sana, maisha ni magumu. Waziri mkuu yuko wapi?
Ziko wapi ziara za waziri mkuu kwenye masoko?, mashambani?, minadani?, viwandani?. Haya ndiyo mambo ambayo wananchi wanayakumbuka kwa hayati Sokoine au Simba wa vita!. Tunataka Waziri mkuu atakayekwenda Field, siyo yule wa kukutana na wakurugenzi wa halmashauri kwenye makumbi yaliyosheheni viyoyozi!

g) Waziri mkuu ameshindwa kuthibiti nidhamu ya mawaziri wake.
Kuna waziri mmoja anawaambia Watanzania kama hawataki tozo waende burundi!. Na waziri mkuu yuko kimya, hamlazimishi waziri husika aombe wananchi radhi kwa kauli hiyo ya kejeli na dhihaka kubwa kabisa, Au waziri mkuu husika hatokei hadharani kukemea!. Sasa hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo.

Nahitimisha
Ndugu Rais, uzuri wa mfumo wetu ni kuwa serikali ikifanikiwa credit zinakuja kwako, lakini ikifeli responsibility na lawama zinarudi kwako.

Badili hii serikali ili mambo yaende. Achana na cosmetic change, Vunja hili baraza la Mawaziri, uunde serikali ambayo tunaweza kuuita ya awamu ya Sita. Tengeneza serikali yako mwenyewe. Serikali itakayozingatia MERITOCRACY na siyo Ukada au Kujuana!
Kwa namna ya maoni yako wewe ni wale waliyofurahia kufa magufuli na kuona samia anakuja kutengua sera za magufuli za kuzingatia maslahi ya umma.
Tunatofautiana hapa; mimi nilipoona kamkamata sabaya nikajua ni muongo yeye na magufuli si kitu kimoja kama mwenyewe alivyo jinasibu. Wewe ulipoona kamkamata mbowe bila shaka ukashtuka kumbe samia sio mtu wa wapinzani. Ndio maana unaona amteme kassim majaliwa wakati tuliyompenda magufuli waziri mkuu ndio anatufariji kwa kuona ana ule mwelekeo wa kimagufuli.
Kwa ufupi samia anatuchanganya kila mlengo. Naona wenye kumshauri sio watu wenye nia njema na maslahi ya umma wa watanzania.
 
Ndugu Rais.
Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano.

Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite awamu ya Rais huyo kuwa ni awamu imepita na eti anayechukua nafasi tuseme eti ni awamu nyingine. Kwa hiyo kwa hoja hii naamini mimi niko sahihi kabisa kusema kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu lakini anayekamilisha awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu.

Hata hivyo unaweza kukamilisha dhana ya kuwa Rais wa awamu ya sita iwapo utafanya yafuatayo

1. Unda serikali yako.
Mpaka hivi sasa, umeweka viraka tu katika serikali ya Magufuli, bado hujaunda serikali yako. Kwa hiyo sasa pengine wanaokuona kuwa unakamilisha awamu ya Magufuli wako sahihi. Na namna ya kuunda Serikali mpya lazima uiondoe iliyopo chini ya Waziri Mkuu aliyepo na kuiunda upya kwa kuteua jina la Waziri mkuu na kulipeleka bungeni lipigiwe kura. So far hujafanya hivyo, bado uko na waziri mkuu aliyeapishwa na Magufuli, kwa hiyo wewe Mama Samia unakamilisha ngwe ya Magufuli

2. Rais Samia, una kila sababu za kubadili serikali.

i) Serikali yako ya sasa chini ya waziri mkuu wa Magufuli imefeli.

Kwa sasa kila kona ya nchi kuna vilio. Nataka nikwambie tu ndugu rais kwamba, ulipoingia madarakani ulikong'a nyoyo za wananchi lakini ukaharibu mambo kwa hatua zifuatazo
a. Kumkamata Mbowe na kumfungulia mashitaka ya magumashi, raia wakachukia sana

b. Operesheni yako ya wamachinga, uliwatibua nyongo watu wa chini sana. Hatusemi kuwa wamachinga wasipangwe, bali tunasema kabla hujafanya zoezi hilo ni lazima uwape watu alternatives. Hii nchi ni ya watu masikini, watu wanatafuta mlo wao mmoja kwa siku, ukidisturb hiyo bila kuwapa watu alternative lazima wakuchukie.

c. Tozo za miamala ya simu, wananchi siyo kwamba hawataki kulipa kodi, bali wasikamuliwe mpaka waanze kutoa damu. Halafu kinachowatia hasira ni kuona serikali yako haifanyi juhudi za kutosha kubana matumizi kwenye vitu kama makongamano, warsha, Magari ya ma VX. Na kibaya zaidi Waziri wako wa fedha anakuja na nyodo za kuwaambia wananchi kuwa kama hawataki tozo waende burundi. Hii ni dharau kubwa sana!

d. Mfumuko wa bei, umekuwa ni mkubwa sana. Maisha yanazidi kuwa ghali

e. Tozo za mabenki, nazo zimegongelea msumari kwenye hasira za watu maana hii ni double taxation.

f. Ubabe wa serikali yako dhidi ya wananchi wamasai nayo ilichukiza wananchi sana. Watu wanajua kuwa Loliondo kuna watu, vigogo wana maslahi napo, sasa wananchi wanapoona majeshi uanaenda kupiga wananchi na kuwatoa kwenye ardhi yao bila kufuata taratibu za sheria inaleta chuki kubwa kwa serikali yako

g. Kuendelea kwa serikali yako kuwakumbatia wabunge 19 feki. Unaweza kudhani labda unailonda serikali yako, lakini watu wanaona jinsi unavyokumbatia uvunjifu wa katiba uliyoapa kuilinda na lawama zinakuja kwako na serikali yako. Kiufupi serikali yako bado inatenga bajeti ya kuwalipa wabunge haramu 19. Hizi ni kodi na jasho la wananchi!

3. Waziri mkuu wa sasa hakusaidii ipasavyo

a) Anashikilia nafasi ya uwaziri mkuu kinyume cha katiba.

Katiba iko wazi, Ibara ya 51 inasema kuwa Mtu anapoapishwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu basi rais huyo ndani ya siku 14 atapeleka jina la waziri mkuu bungeni lijapigiwe kura. Sasa ni lini wewe ndugu rais baada ya kuapishwa ulipeleka jina la waziri mkuu bungeni likapigiwe kura?-Hatusemi kuwa ni lazima ungembadilisha wakati huo, lakini tunasema kuwa anagalau ungerudisha jina lake bungeni likapigiwe kura. Mheshimiwa rais hukufanya hivyo, kwa hiyo ulivunja katiba, na Waziri mkuu huyu wa sasa hayupo madarakani kwa mujibu wa katiba!

b) Waziri mkuu huyu kwanza hajapigiwa kura na wananchi, alipita bila kupingwa tena kwa rafu
Pamoja na kwamba sheria inatambua mtu aliyepita bila kupingwa ni kama vile kachaguliwa lakini ni aibu Waziri mkuu atumie njia za kibabe kupita bila kupingwa, halafu aje awe waziri mkuu wa wananchi!. Hii inaonyesha kuwa kwanza siyo mtu honest na anaweza kufanya lolote ili ashike power. Sasa mtu kama huyu asiytokana na ridhaa ya wananchi hata huko jimboni naamini kwa sasa siyo choice sahihi kwako

c) Heshima ya waziri mkuu katika jamii imeshuka

Wananchi bado wanakumbuka kauli yake tena aliyoitoa msikitini kuwa rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wakati anasema hayo, rais alikuwa ni mgonjwa na anapigania maisha yake. Wananchi huwa hawasahau kauli hii, na hivyo heshima ya waziri mkuu ilishuka kwa kiwango kikubwa

d) Waziri mkuu ni bingwa wa kuunda tume ambazo huwa hazileti mrejesho kwa wananchi.

e) Chini ya uongozi wa waziri mkuu huyu wa sasa ufisadi na upigaji wa pesa za umma bado ni mkubwa sana. Ripoti za CAG zimeonyesha hali halisi kuwa bado kuna ubadhirifu mkubwa sana. Wananchi wanajiuliza, Hivi haya mambo ya watu kupigapiga hela yangewezekana chini ya waziri mkuu Sokoine?, Au Waziri mkuu Kawawa Simba wa vita?- Sasa haya mambo yatapungua lini, maana ripoti za CAG zinaonyesha watu wanakula bila kunawa!

f) Mfumuko wa bei uko juu, bidhaa bei ni ghali sana, maisha ni magumu. Waziri mkuu yuko wapi?
Ziko wapi ziara za waziri mkuu kwenye masoko?, mashambani?, minadani?, viwandani?. Haya ndiyo mambo ambayo wananchi wanayakumbuka kwa hayati Sokoine au Simba wa vita!. Tunataka Waziri mkuu atakayekwenda Field, siyo yule wa kukutana na wakurugenzi wa halmashauri kwenye makumbi yaliyosheheni viyoyozi!

g) Waziri mkuu ameshindwa kuthibiti nidhamu ya mawaziri wake.
Kuna waziri mmoja anawaambia Watanzania kama hawataki tozo waende burundi!. Na waziri mkuu yuko kimya, hamlazimishi waziri husika aombe wananchi radhi kwa kauli hiyo ya kejeli na dhihaka kubwa kabisa, Au waziri mkuu husika hatokei hadharani kukemea!. Sasa hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo.

Nahitimisha
Ndugu Rais, uzuri wa mfumo wetu ni kuwa serikali ikifanikiwa credit zinakuja kwako, lakini ikifeli responsibility na lawama zinarudi kwako.

Badili hii serikali ili mambo yaende. Achana na cosmetic change, Vunja hili baraza la Mawaziri, uunde serikali ambayo tunaweza kuuita ya awamu ya Sita. Tengeneza serikali yako mwenyewe. Serikali itakayozingatia MERITOCRACY na siyo Ukada au Kujuana!
Maneno mazito sana !!
 
Back
Top Bottom