Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.

Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.

Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi

Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
 
Yale makuwadi ya warabu yatapinga.
 
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.

Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.

Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi

Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Ww ndi umeiyeyusha au unatak umaarufu
 
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.

Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.

Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi

Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Labda huko kijijini kwenu Nanjilinji, huku duniani chadema inafahamika kama baba wa njaa na inapuuzwa kuliko kawaida.
 
Uzuri JF haipimi akili za members wake.
20230830_185829.jpg
20230830_185806.jpg
Screenshot_2023-08-29-22-46-10-528_com.twitter.android.jpg
 
Masuala ya utafutaji rizki yana njia nyingi zaidi ya 1000,
-wengine wanavutwa kwa manabii
-wengine kwa kugeuzwa mitaji ya wanasiasa
*Lengo ni moja tu KIPATO,KIPATIKANE NA FURAHA MAISHANI,
(World philosophy "
 
Kinyonge saaaaana,makuwadi wa DPW dawa yenu iko jikoni
 
Na wewe ulikuwa miongoni mwa kuwapinga CHADEMA enzi za jiwe.Nmeshangaa unawasapoti CHADEMA siku hizi. Umehama lini CCM?
 
Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.

Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.

Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi

Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Jamaa wanakuja juu sn
 
Mleta mada pole kwa kusifia maiti. MaCHADEMA yamekufa hakuna jipya. Ungesema hata ACT. CCM hoyeee
 
makuwadi ya warabu dpworld, chadema imewanyoosha kila kona hadi mmekuwa vichaa.
Hahahahaaa!
Eti chadema 'imewanyoosha', kweli we ni nyumbu uliyechanganyikiwa. Hakuna aliyeichanganya serikali kuhusu mipango yake ya kiuchumi mpaka sasa; si kale kabibi kalikofadhaika na tics yake, si kale kapadri kastaafu kalikopoteza dira, si kale kanakomiliki nyumbu, si kale kachiba wala si yeyote yule...........mipango isiyo na shaka na ya haki inaendelea kujengwa. Hapo kama unataka tuzungumzie hilo ingawa si lengo langu na wala sina nafasi huko.

Ila ukweli ni kwamba, katika kupinga hili la dp world, angalau ungemtaja yule mwanasheria wa mbeya (nimemsahau jina) ningekuona una akili kidogo. Yule peke yake amewafunika chadema woooote, akiwemo na huyo mwanasheria wenu. So kusema hilo unalosema nafikiri ni katika kujifariji tu....Pole!
 
Back
Top Bottom