Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Amevunja Katiba? Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana. Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa. Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo. Alishatupiga sana. Sasa...
14 Reactions
82 Replies
4K Views
Na Nulphin Charles Heche Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Ninaandika huu uzi bila kuweka itikadi yangu ya kisiasa huku nikiwa na huzuni. Siku chache tumetaarifiwa kupitia wizara ya katiba na sheria kuwa 51% ya watanzania hawajui chochote kuhusu katiba ya...
0 Reactions
4 Replies
605 Views
Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari, nawasalimi kwa jina la muungano...... Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kumkataa mtoto kumpokea ikiwa tu hajamaliza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu Mjadala wa Dola kuadimika unaoendelea Nchi. Amesema watu inabidi watambue kwamba Dola sio hela yetu bali tunaipata pale tunapopata Mkopo...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni vema Prof Mkenda na Dr Mwigulu PhD wakajifunza kutoka Nchi jirani mbinu walizotumia kuweza kuwalipa mishahara minono Walimu Ni kule alikolazwa Tundu Lissu mara baada ya kushambuliwa na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Vijana nguvu ya mabadiliko dunuani Kuna kazi ya kutumia nguvu kubeba viroba vya unga na mahindi vyenye uzito wa 100kg kwa Bakhresa kwa siku wanalipa elfu 10, ila unalipwa kila baada ya wiki. Kula...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya. Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani kuna mtu anajua kwanini hawa mabwana wameondolewa Nishati na wote wamepelekwa mambo ya Nje?
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania...
19 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwanza nianze kwa kuuliza, inakuwaje Waziri wa Tanganyika akaapishwe kwenye eneo ambalo sio eneo lake la kazi? Je, Wazanzibari wanaweza kukubali Rais wao kuja kuwaapisha Mawaziri wa Serikali ya...
33 Reactions
175 Replies
14K Views
Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college...
14 Reactions
93 Replies
13K Views
Mabadiliko ya mawaziri na wengine kung'olewa yamekuja ghafla na kwa mshangao mkubwa. Lakini kwa wakazi wa jiji la Mwanza ndio wameshangazwa zaidi na kupona kwa Waziri wa Maji kijana alite jaa...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndugu Abdulrahman Kinana, amesema Tamasha la Kizimkazi limefanikiwa kuwa chachu ya kuimarisha Muungano. Kinana amesema hayo Agosti 31, 2023...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wale Maaskofu Waliosema Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hawajakosa hata kidogo. Sema mambo haya huwa yanachukua mda na kuaanza kuonekana taratibu. Hapa JF wengi tukishapiga makelele toka zamani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Angalia mwenyewe hizo fedha zilivyo nyingi kuna CFA franc, dola na euro zimo nyumbani kwa mtoto wa kiongozi wa Rais Ali Bongo aliyepinduliwa.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom