Kati ya Chama na Serikali, Mizani imeegemea upande kwa kiasi kikubwa saana

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Kwa sasa Mikutano anayofanya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Wah. Mawaziri kwa ajili ya kutatua kero za Wananchi ndio yenye nguvu.

Mikutano ya Chama ni ama inahitaji hamasa mpya au mbinu mpya, UVCCM wenye hamasa yao naona bado wanajipanga.

Je tutegemee lolote kwenye mkutano ujao wa Chama?

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Back
Top Bottom