Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa.

Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia kuamsha tabasamu lililozimika miezi kadhaa sasa la Mama yetu Janeth tangu aondokewe na Mumewe.

Tunajadili utumishi wa Mwalimu kwa Taifa letu tumekuwa tukimtafuta mwanafamilia yeyote anayeweza kwa asilimia ndogo kuvaa viatu vya Mzee huyu lakini hatukuweza kumpata kupata kwa watoto wake, je tukimuliza wajukuu wake tunaweza kuibuka na kipaji?

Tunaomfahamu Bhoke Nyerere tupeni taarifa zake na kwanini awe karibu na Bibi badala yakuwa karibu na majukumu yake kama walivyo wajukuu wengine?
 
Picha mmesikia anatafuta mchumba? Mada inataka kujua huyu ni mtoto wa Nani? Siyo Hadi ateuliwe kuwa DAS au DC ndo tuanze kumjadili,,,, tuanze kumjua kabla ya uteuzi.

Akiteuliwa tukamjadili tutakuwa biased, Bora tumchambue akiwa no body kwenye ulingo wa siasa
Ccm mna akili za kipuuzi sana! Muda wote mnawaza uteuzi tu. Kwani wewe huko kwenu hakuna wajukuu/watoto wanao jitolea katika familia kuwalea bibi/mama zao walio zeeka kama huyo Mama Maria Nyerere?

Sasa iweje kwa huyo Bhoke iwe ndiyo habari ya mjini?
 
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea.

Pongezi kwa Mwonekano wake wa sasa hasa Mnyoo wake kwani umemuongezea Thamani yake maradufu. Mjane ana Tabasamu zuri ambalo Mwanaume yoyote Rijali ukibahatika Kukumbana nalo ni lazima tu utaingia Kingi na Kumpenda kama ilivyokuwa Kwake Mkemia wa Chato. Mjane ni Photogenic sana tena Kuwazidi First Ladies wote wa Tanzania.
 
Tunajadili utumishi wa Mwalimu kwa Taifa letu tumekuwa tukimtafuta mwanafamilia yeyote anayeweza kwa asilimia ndogo kuvaa viatu vya Mzee huyu lakini hatukuweza kumpata kupata kwa watoto wake, je tukimuliza wajukuu wake tunaweza kuibuka na kipaji?
Vipaji vya uongozi siku zote vinaonekana kwa wajukuu na sio watoto sijui kwanini. Mimi bibi yangu alikuwaga diwani wa CCM huko Tarime na kwa watoto wake sijaona hata mmoja ila kwa wajukuu yupo dada yangu mtoto wa mama mkubwa yaaani ni CCM damu na anajua sana siasa.
 
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea...
😂😂😂 Daaah
 
Tuma lakimbili nikupe namba yamama yetu mwl
 
Picha mmesikia anatafuta mchumba? Mada inataka kujua huyu ni mtoto wa Nani? Siyo Hadi ateuliwe kuwa DAS au DC ndo tuanze kumjadili,,,, tuanze kumjua kabla ya uteuzi.

Akiteuliwa tukamjadili tutakuwa biased, Bora tumchambue akiwa no body kwenye ulingo wa siasa
Kama atumjui ni ngumu kumjadili
 
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea.

Pongezi kwa Mwonekano wake wa sasa hasa Mnyoo wake kwani umemuongezea Thamani yake maradufu. Mjane ana Tabasamu zuri ambalo Mwanaume yoyote Rijali ukibahatika Kukumbana nalo ni lazima tu utaingia Kingi na Kumpenda kama ilivyokuwa Kwake Mkemia wa Chato. Mjane ni Photogenic sana tena Kuwazidi First Ladies wote wa Tanzania.
Nikweli amenawili sana mama Janet, inaonyesha wakati wa uhai wa mumewe hakuwa na amani sana
 
Back
Top Bottom