Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

Plastic

JF-Expert Member
Jun 2, 2019
220
332
Screenshot 2023-10-15 144730.png

"Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli."

- Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida katika eneo la Sagala jimbo la Singida Kaskazini.

Kumbe maji yanaleta urembo eeh?

EATV
 
"Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo

Kumbe maji yanaleta urembo eeh?
Ok sawa
 
Ila kiukweli naona kasi ya kutandaza mabomba ya maji Iko juu sana. Sijui Hilo wadau mnaliona kama mimi
 
Kwani lazima kuoga? Muhimu kula!
Mkuu naona unataka kuungana na yule Daktari wa Mhimbili aliyesemaga eti kwa Wiki mtu anatakiwa kuoga mara 3 tu 🙌

Sisi wanaume usipooga siku moja tu kesho yake Boksa inakuwa haitamaniki, na Korodani ndiyo zitakuwa zinanuka balaa 🙌
 
Hahahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom