Tundu Lissu angekubali ofa aliyopewa na Shujaa Magufuli ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali angelisaidia sana taifa hasa nyakati hizi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lisu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lisu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni Wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni Wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Labda Lissu mwingine sio huyu ninayemjua mimi.
20231014_083501.jpg
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lisu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lisu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni Wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni Wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Wasingewezana.
 
Uyo ni rais wako ajae ,uchaguzi ukifanyika ,we jizime data
 
TUNDU LISSU mwenyewe juzi kati alitoa kauli ya kumkubali Magufuli. Akasema Magufuli alikuwa mzuri mno kupambana na wezi na mafisadi.

Kumkumbuka Magufuli lilikuwa swala la muda tu... Sasa hivi kila mtu analia na mgao
Pamoja na kuagiza auawe lakini amemkubali? Hebu acheni kujizima data.
 
Orodha ya waliokubali ofa:
1. Silinde
2. Chalamila
3. Mwambie
4. Waitara
5. "COVID 19
6. Dogo janja aliyepewa ukuu wa wilaya
7. ...........
Twambie wamesaidia au wamesaliti
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Kwa mfumo wetu mbovu na wakijinga hata umteue malaika hawezi, tatizo atakuwa chini ya mtu hiyo atakuwa anapokea order za majangili ya mali za umma, unadhani ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali haina watu wazuri? tatizo ni mfumo unapokea maelekezo nini cha kufanya, wanaoiba mali za umma ni watu wazito kwa kushirikiana na watu kutoka nje.
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Porojo tu ,unaleta mnaokuteza vi story huko mnakuja kuvitupia humu
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Hiyo kazi ilikuwa na attachment pamoja na sacrifices , pamoja na compromised integrity, Tundu asingeweza kukubali huo ujinga
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Tundulisu hawezi kukubali awe kondoo wa kupokea mshahara wakati hapo anapiga mpunga mrefu sana kwa maneno ya mdomo tu.
 
Orodha ya waliokubali ofa:
1. Silinde
2. Chalamila
3. Mwambie
4. Waitara
5. "COVID 19
6. Dogo janja aliyepewa ukuu wa wilaya
7. ...........
Twambie wamesaidia au wamesaliti
Acha urongo wako chalamila yupi aliyekubali ofa,huyu aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa alipokuwa mwenyekiti wa CM mkoa wa Iringa
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Laiti angeingia mtego huo wa Magufuli leo hii tusingekuwa na Lissu, angekuwa marehemu
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Yaani we kwa Akili yako Lisu anaweza kuwa mwanasheria mkuu? Au unafikiri unasheria mkuu wanachukuaga vilaza
 
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia

Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi

Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa

Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa

Mungu ni mwema Wakati wote!
Angekuwa tayari ASHATUMBULIWA
 
Mbona alimuuliza swali ni nani aliyempiga risasi hakujibu! Baadaye akajibu kuwa awape funza wa majalalani alikozoea kutoa mizoga yake
 
Back
Top Bottom