Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima...
18 Reactions
100 Replies
8K Views
Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia...
7 Reactions
7 Replies
965 Views
Haifahamiki kama kuna uhaba wa mafuta au hamna vituo vya mafuta vilivyovingi kila ukienda wanakwambia hakuna mafuta. Haijafahamika kwanini mafuta yamekuwa adimu kiasi hiki. Serikali ijibu suala...
12 Reactions
128 Replies
8K Views
Jembe lililoaminiwa na Magufuli kwenye madini,limepewa unaibu Waziri Mkuu,jembe lingine Mnyeti kapewa unaibu Waziri. Lakini je, watoto wa kambo watalipa fadhila hizo. Je, Bashiru kuchukua form ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri. Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunaipongeza awamu hii ya Samia kwa kutufumbulia fumbo gumu. Ametuonyesha kuwa kumbe utawala usipokukubali nawe ni mstaafu unakunyang'anya hadhi yako na kukukosesha stahili zako zote. Baada ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtake msitake iko siku isiyo na jina ubalozi wa watu niliowataja hapo juu utafutwa tu. Dr. slaa alipewa kama zawadi ya kumfunga mdomo na kumtoa machoni mwa Watanzania, moja ya dhambi anayotakiwa...
9 Reactions
24 Replies
4K Views
Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Kuna kikundi cha Watu Wachache, Wengine wanajiita wana harakati na Wengine wanajiita Wanasiasa wa Vyama vya upinzani, Kikundi hiki kimejipa jukumu la kukosoa na kupinga chochote kinachofanywa na...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Karibu mdau tujadili nafasi ya serikali katika kuwezesha vijana kujiajiri.
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Najikumbusha tu Watu waliowahi kuukataa Ubalozi na Waliowahi kuukataa Ubunge Zitto Kabwe alikataa Ubalozi wa Ujerumani alioahidiwa na Waziri Membe Pius Ngw'andu alikataa Ubalozi wa Japan...
1 Reactions
4 Replies
882 Views
Watawala wanazunguka sana, wanahangaika sana. Kwa muda mrefu Katiba yetu imekua ikitoa kinga kwa rais aliyemaliza muda wake kuja kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya alipokua madarakani. Kinga...
2 Reactions
6 Replies
595 Views
Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna...
17 Reactions
228 Replies
11K Views
Haya kama mnaweza njooni muutengue na huu Ubalozi wa Kutukuka aliopewa na Rais wa Jamhuri ya wana JamiiForums wote duniani GENTAMYCINE. Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea mwendo hivyo mmemjenga...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Sijui Kiswahili chake fasaha kama ni haiba au hulka, au silka, n.k, ila waliotuletea vitabu wanaiita TEMPERAMENT. Kuna faida kujifahamu na kuwafahamu wengine. Kutakusaidia kuweza kushirikiana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Fuatilia live yanayojiri kwenye Mkutano huo. https://www.youtube.com/live/y0U2V-2Uv4I?si=Zit9QTAINPq-6D-w
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom