Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,793
14,874
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali.

Tuombe uzima
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Bangili ukizichoma ukivuta moshi wake sio mzuri madampo yakae mbali!
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
Mkuu Gulwa , humu JF, rukhsa kujifurahisha!, kama unaamini 2015 na 2020, CCM ilishindwa ikapiga bao la mkono!, endelea kuamini hivyo!, hicho chama cha kuishinda CCM kwenye sanduku la kura, kwa Tanzania bara, bado sana!.

Sababu inayoifanya CCM isishindwe ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! hivyo CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
 
Bora iwe hivyo
 
Bora iwe
 
Joyce Banda
 
Ingawa nimekuunga mkono lakini my eyes from within nimeona jambo kabla ya 2025 ambalo wengi hawatalitarajia.

Pia mkuu, kauli ya kusema hakuna chama mbadala wa CCM ni kauli isiyopaswa luungwa mkono.

Sisi Watanzania tunaweza kujiongoza bila jinamizi la CCM. Vyama tunavyo na vimesajiliwa kisheria. Kila chama kina uwezo wa kutwaa dola maana hakuna sheria inayotamka kuwa chama kinachofaa kutwaa dola ni lazima kiwe na mfumo kama wa jinamizi CCM.

Tuwaaminishe wananchi kuwa wana uwezo wa kuchagua viongozi wa nchi bila kuhofia vyama kwa sababu sheria haibagui vyama kama unavyotufanyia hapa jukwaa i
 
Hata nchi nzima ipigie kura chama kingine, CCM itabaki kinara!

Wacha kuongea UZWAZWA! inamaana huelewi au?!

Ntakuwasha kelbu! 🤔🤔🤔
 
Ataondoshwaje ikiwa yeye ana mamlaka 3 ya juu zaidi kikatiba??:-
1. Amiri jeshi mkuu.
2. Mkuu wa nchi (mihimili yote 3 iko chini yake).
3. Mwenyekiti wa chama tawala.

Huyo atakayemuondosha atapitia wapi na atakuwa amekaa wapi?
 
Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea matokeo halali. Tuombe uzima
OK SAWA
 
Ataondoshwaje ikiwa yeye ana mamlaka 3 ya juu zaidi kikatiba??:-
1. Amiri jeshi mkuu.
2. Mkuu wa nchi (mihimili yote 3 iko chini yake).
3. Mwenyekiti wa chama tawala.

Huyo atakayemuondosha atapitia wapi na atakuwa amekaa wapi?
Hata Trump alikuwa na hayo mamlaka,hata edger chagwa lungu alikuwa nayo,lakini hata Peter mutharika alikuwa nayo. Lakini waliondoshwa wote. Huyu mwepesi mno
 
Ingawa nimekuunga mkono lakini my eyes from within nimeona jambo kabla ya 2025 ambalo wengi hawatalitarajia.
Hilo jambo tuliishalijua na kulizungumzia tumeisha liepusha Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.
Pia mkuu, kauli ya kusema hakuna chama mbadala wa CCM ni kauli isiyopaswa luungwa mkono.
Naunga mkono hoja, nchi ya vyama vingi vya siasa has to have alternatives, ila kwa Tanzania, it's a fact hatuna mbadala wa CCM!.
Sisi Watanzania tunaweza kujiongoza bila jinamizi la CCM.
It's true CCM ni jinamizi and infact CCM ni li zimwi!, ila it's very unfortunately ndilo zimwi likujualo!, better a devil you know than you don't know!, and when you have a choice to choose in between the two devils, choose the lesser, CCM is the lesser one!.
Vyama tunavyo na vimesajiliwa kisheria. Kila chama kina uwezo wa kutwaa dola maana hakuna sheria inayotamka kuwa chama kinachofaa kutwaa dola ni lazima kiwe na mfumo kama wa jinamizi CCM.
Naomba nipe mfano mmoja tuu
Tuwaaminishe wananchi kuwa wana uwezo wa kuchagua viongozi wa nchi bila kuhofia vyama kwa sababu sheria haibagui vyama kama unavyotufanyia hapa jukwaa i
It's true sheria haibagui vyama bali the realist want reality, the reality ya siasa zetu, tuna chama kimoja tuu, the one and only chenye ability, capacity and capability kuendesha nchi yetu!.
P
 
Hata Trump alikuwa na hayo mamlaka,hata edger chagwa lungu alikuwa nayo,lakini hata Peter mutharika alikuwa nayo. Lakini waliondoshwa wote. Huyu mwepesi mno
Huko kote ulikotaja katiba zao ziko juu ya kila mwananchi akiwemo rais. Hapa kwetu rais anaweza hata kumuua mpinzani wa nafasi yake na asifanywe kitu, kwasabb yuko juu ya katiba.
 
Back
Top Bottom