Iringa kwa teuzi hizi mmetisha. Hakika Mzee Luhanjo amewaacha pazuri!

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa). Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa Njombe). Kamweneeee........
 
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa).
Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa Njombe). Kamweneeee........
Joket ni mngoni sio Iringa, na hata Jenister Mhagama ni mtu wa Songea nio Iringa.
 
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa).
Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa Njombe). Kamweneeee........
Jokate ni mtu wa Songea, acha kudanganya watu.
 
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa).
Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa Njombe). Kamweneeee........
Wakinga ni washirikina haswa
 
huna akili.
 
Gari imelalia upande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom