Kuna watumishi walipandishwa madaraja 2016, 2017, 2019 na 2021. Marekebisho ya mishahara yakacheleweshwa hivyo kusababisha madeni ya malimbikizo ya mshahara.
Kila waziri anayeteuliwa wizara ya Utumishi na Tamisemi wamekuwa wakijinadi kulipa lakini hadi wanahamishwa hakuna kinachofanyika.
Wakurugenzi kupitia maafisa Utumishi wamekuwa wakisumbua Watumishi kujaza fomu za madai kila mara lakini hakuna kinachofanyika.
Sasa waziri wa Utumishi na Tamisemi kama madeni hayo mnajua hayalipiki toeni tamko ijulikane kuliko kuwaingiza watumishi kwenye hasara za kusafiri kwenda halimashauri, kupriti na kutoa copy nyaraka.
Ikumbukwe kuna watumishi wameshapandishwa mara mbili, hivyo wanadai malimbikizo mara mbili.
Naomba kuwasilisha