Naomba kufahamu Wasifu wa James Mwainyekule, Mkurugenzi Mkuu mpya wa EWURA

Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.

Naomba kuwasilisha.
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.

Naomba kuwasilisha.
Ni kijana mmoja Handsome,Msomi toka wilaya ya rungwe,kabobea kwenye uhasibu na mambo ya fedha ni CPA T,MBA na Phd
Ni mume wa Dr. Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Karibu kalumbu wa kajunjumele
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom