Luhaga Mpina aendelea kuwakalia kooni Mwigulu na Mbarawa kusuasua kwa SGR. Ahoji ufadhili ukoje

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Serikali Kupitia Mwigulu na Mbarawa jibuni hoja za Mpina.

Inakuwaje Sgr progress ni kidogo kiasi hiki kama taarifa za Mpina ni sahihi.?

Pesa mnalipa kweli Kwa mkandarasi au Sgr sio kipaombele?

Walinda ligacy wanataka Sgr Yao 🤣🤣🤣🤣

---

Mpina akichangia hoja hiyo anasema:

"Hivi sababu ya Lot (kipande ) 3 ya Reli ya Kisasa (SGR) kuwa asilimia 12 ni nini? na Lot 4 kuwa asilimia 5 ni nini kwenye miaka miwili hadi mitatu ya mkataba wakati huo lot 6 ni asilimia 0.29.

Ufadhili wa miradi ukoje?"
 
Hayo anayoongea Mpina ni kweli au anapotosha? Na kama anapotosha Kwa nini anachekewa na Mamlaka?
 
Hali ni tete

Serikali kuwakopesha Magari Viongozi Ili kupunguza Matumizi
Ni kukosa akili, unapandisha posho(per diem kutoka 120,000 mpaka 250,000 katika ya huu umasikini serious)? Posho ya masaa ya ziada 30,000 - 60,000 huo mtu anakula chakula gani? watumishi wanaenda kula five star hotel?
 
Posho zinaongeza mzunguko wa hela.
Posho hazipatikani Kila mda
Posho huwezi kukopea
Posho zipo Kwa taasisi chache sana.
Posho hazijaathiri Bajeti Kwa sababu Bajeti za Utawala zimebakia vile vile.

Posho zingekuwa na maana sana kama wangeongeza na pesa ya Utawala.

Labda taasisi zingine wameongezewa ila niliko Mimi Bajeti ya pesa za posho haijaonhezwa hata baada ya rate kuongezeka so ni mwendo wa kubanana.

Hizo posho zinwafaidi zaidi viongozi kuliko Watumishi wa Umma.
 
Serikali Kupitia Mwigulu na Mbarawa jibuni hoja za Mpina.

Inakuwaje Sgr progress ni kidogo kiasi hiki kama taarifa za Mpina ni sahihi.?

Pesa mnalipa kweli Kwa mkandarasi au Sgr sio kipaombele?

Walinda ligacy wanataka Sgr Yao 🤣🤣🤣🤣
---
Mpina akichangia hoja hiyo anasema:

"Hivi sababu ya Lot (kipande ) 3 ya Reli ya Kisasa (SGR) kuwa asilimia 12 ni nini? na Lot 4 kuwa asilimia 5 ni nini kwenye miaka miwili hadi mitatu ya mkataba wakati huo lot 6 ni asilimia 0.29.

Ufadhili wa miradi ukoje?"
Kuhujumu SGR ni Makati maalumu WA kuu maendeleo na uchumi WA watu WA maeneo ambayo reli hiyo inapita na kuwaneemesha wenye malori na mabasi ambao wengi wao ni wenye asili ya nje ya Tz.
 
Kwa kipi Cha maana ambacho Sgr itawaletea? Kuna Tazara all the way kuanzia Dar Hadi Zambia.Imeleta maendeleo yapi?

Hiyo Sgr yenu mtaishia kupigia picha tuu ila has nothing to do with your Maendeleo
 
Kuna usafirishaji wa cement, na vifaa vingine vya Ujenzi kama nondo, bati , na kuna usafirishaji wa bidhaa zingine za kibiashara, kuna usafiri wa watu kwenda huko na kutoka huko Kwa muda mfupi na mazingira Bora zaidi , hivyo kumwezesha mtu kufuatilia Kwa makini na ukaribu zaidi mambo binafsi ya kimaendeleo na masuala ya biashara
 
Kihamisha vitu stoo za Dar kuleta Mwanza sio kukuza uchumi Wala haiongezi kitu kwenye uchumi wa Nchi
 
Aise wampe huyu uwaziri aise
Atatulia 😄 bila hvyo atakuwa anawapelekea moto sana

Ova
Aendelee hivyo hadi collection bunge na kina Heche, Boni, Lema na Zitto kama ataamua kurudi kuliamsha.
 
Back
Top Bottom