Kwanini mikataba ya LNG and hii ya DP World ni ya siri?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Serikali inasema kwasasa wanamalizia mazungumzo ya mkataba wa LNG wakati huo huo DP World wamesaini mikataba mingine.

Sasa ni kwanini hiyo mikataba haiendi bungeni na kuwekwa wazi? Juzi tu hapa tulikuwa tunawaambia wabunge wawe makini sasa mnaona hata wenyewe hawajaona mikataba zaidi ya ule mkataba mbaya uliovuja!.

Nasikia kwenye LNG wabunge hawajui nani ndiyo anaongoza majadiliano ya mkataba na wala hawahusishwi! lakini watu bado wanashabikia. Mkataba wa gas wa LNG nao ni kama wa maisha!.

Watanzania tuamke! wabunge amkeni kesho haya magari yataisha lakini bandari na gas zitakuwepo!
 
Vilaza wa ccm ndo wanashabiki navyojua amna mkataba mbaya kama huyu wa LNG ,
 
Back
Top Bottom