Kenya yafuta mpango wa kubinafsisha Bandari ya Mombasa, hii ni fursa nzuri kwa TPA kukamata Soko la Afrika Mashariki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,002
Rais Ruto wa Kenya ametangaza kufuta mpango wa kubinafsisha Bandari ya Mombasa na amesema kamwe hatafanya hivyo katika Utawala wake

Source: Citizen TV

My take; Hii ni fursa nzuri kwa TPA na DP World kukamata Soko la Afrika Mashariki

Mlale Unono 😀😀
 
Nyie mmeuza kabisa
 
..tumemleta Dp world ili tuweze kufikia viwango ambavyo Mombasa Port imevifikia kwa kutumia uwezo wa ndani wa Wakenya.
 
Back
Top Bottom