Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 847
Mambo mawili yametokea mwezi huu:
Kwanza JF iliwaexpose watoto wawakubwa ambao kuna habari kuwa wamepewa kazi pale BOT kwa upendeleo au kutokana na nafasi za kisiasa za wazazi wao
Pili huu mjadala unaoendelea kuhusu mtoto wa Karume wakili FATMA humu ndani
Mfano Kinje ambaye ni mtoto wa Kingunge tunaambiwa kuwa procurement yote ya JWTZ kakamata yeye japo si mwajiriwa wa JWTZ
Mtoto wa kanali APSON ambaye alikuwa ni mkuu wa usalama wa Taifa ndiye aliyepewa tenda ya kuweka security systems Ikulu Dar, na sasa hivi amepewa tenda ya kujenga BENKU KUU ZANZIBAR
Watoto wa MKAPA nao nikianza kuandika mambo yao basi itachukua si chini ya masaa 8
Mtoto wa kigogo mwingine ndiye amepewa tenda ya PARKING SYSTEMS DAR ES SALAAM
Mwingine alipewa tenda ya mkusanyo Saba saba
the list is endless....
Sasa kuna mengi yanasemwa na mengine watu wanaongeza chumzi lakini ukweli ni kuwa kuna RESENTMENT kubwa tuu dhidi ya wakubwa na watoto wao.
Je wana bodi mnasemaje?