Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

Lancashire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,045
10,329
Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums.

Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo yanayoonekana na kugusa jamii moja kwa moja.

1. Afya tunaona anajenga health centers, hospitals na kuajiri watumishi kila pahala nchi hii.

2. Elimu amejitahidi sana kuongeza waalimu wa masomo ya sayansi sitaongelea hawa wa fani nyingine, upatikanaji wa vyumba vya madarasa pamoja na vitendea kazi hapa nampa hongera amejitahidi sana.

3. Kuendelea na miradi iliyoachwa na mtangulizi wake Big projects SGR , Mwalimu Nyerere hydropower, barabara n.k.

4.Nimeona ametangaza kujenga barabara kiwango cha lami angalau Km. 2000 si haba.

5. Amepanga kuboresha bandari kwaajili ya biashara ni wazo zuri.

6. Kilimo anafanya vizuri nimeona program kadhaa pamoja na support kwa wakulima kuinua kilimo kama wataendelea hivi tutakua na positive outcome.

7. Maji anafanya vizuri Jumaa Aweso wizara inafanya jitihada kuhakikisha miradi iliyoanzishwa inafanya kazi japo changamoto zipo.

Na mengine mengii. Lakini pia ningependa kutoa ushauri wangu kwa sekta ambazo bado naona hazifanyi vizuri

1. Madini na vito vya thamani naona bado serikali hii haijatoa kipaumbele kusimamia hii sekta kwa sababu hatuoni outcome kama kuna linalofanyika basi angalau displays.

2.Gesi na mafuta sijajua kama baadhi ya project zilizo kwenye mpango zipo hatua gani maana naelewa hizi ni project kubwa zinazohitaji fedha nyingi lakini ni vyema ukawaeleza watanzania hatua mbali mbali tulizofikia.

Mambo ni mengi yamefanyika for 2 years and a half lakini nimegusia machache pia ya kuangalia . So far so good unakwenda vizuri asikubali kuyumbishwa na wanasiasa japo hilo ndio jukumu lao wa opposition .
 
Huyu mama ana mazuri yake mengi sana na ana makosa machache sana, Tatizo sisi watanzania tunataka Malaika au Shetani atuongoze.

Yaani akiwa shetani liwe shetani kweli kweli huyu binaadamu tunaona hajatufaa bado. Au mnasemaje watanzania wenzangu
 
Maji anafanya vzr ??

Yani hapa daslam tuu hatuna maji ya uhakika. Sijui huko ndani ndani Hali ipoje
 
Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums.

Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo yanayoonekana na kugusa jamii moja kwa moja.

1. Afya tunaona anajenga health centers, hospitals na kuajiri watumishi kila pahala nchi hii.

2. Elimu amejitahidi sana kuongeza waalimu wa masomo ya sayansi sitaongelea hawa wa fani nyingine, upatikanaji wa vyumba vya madarasa pamoja na vitendea kazi hapa nampa hongera amejitahidi sana.

3. Kuendelea na miradi iliyoachwa na mtangulizi wake Big projects SGR , Mwalimu Nyerere hydropower, barabara n.k.

4.Nimeona ametangaza kujenga barabara kiwango cha lami angalau Km. 2000 si haba.

5. Amepanga kuboresha bandari kwaajili ya biashara ni wazo zuri.

6. Kilimo anafanya vizuri nimeona program kadhaa pamoja na support kwa wakulima kuinua kilimo kama wataendelea hivi tutakua na positive outcome.

7. Maji anafanya vizuri Jumaa Aweso wizara inafanya jitihada kuhakikisha miradi iliyoanzishwa inafanya kazi japo changamoto zipo.

Na mengine mengii. Lakini pia ningependa kutoa ushauri wangu kwa sekta ambazo bado naona hazifanyi vizuri

1. Madini na vito vya thamani naona bado serikali hii haijatoa kipaumbele kusimamia hii sekta kwa sababu hatuoni outcome kama kuna linalofanyika basi angalau displays.

2.Gesi na mafuta sijajua kama baadhi ya project zilizo kwenye mpango zipo hatua gani maana naelewa hizi ni project kubwa zinazohitaji fedha nyingi lakini ni vyema ukawaeleza watanzania hatua mbali mbali tulizofikia.

Mambo ni mengi yamefanyika for 2 years and a half lakini nimegusia machache pia ya kuangalia . So far so good unakwenda vizuri asikubali kuyumbishwa na wanasiasa japo hilo ndio jukumu lao wa opposition .
Mtihani wake ni suala la demokrasia, katiba na wawekezaji; bandari na Ngorongoro, kupwaya kwenye utendaji wa watumishi wa serikali.
 
Rais Samia aendelee kuungwa mkono. Hana tamaa ya kujilimbikizia mali ya umma.
 
Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums.

Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo yanayoonekana na kugusa jamii moja kwa moja.

1. Afya tunaona anajenga health centers, hospitals na kuajiri watumishi kila pahala nchi hii.

2. Elimu amejitahidi sana kuongeza waalimu wa masomo ya sayansi sitaongelea hawa wa fani nyingine, upatikanaji wa vyumba vya madarasa pamoja na vitendea kazi hapa nampa hongera amejitahidi sana.

3. Kuendelea na miradi iliyoachwa na mtangulizi wake Big projects SGR , Mwalimu Nyerere hydropower, barabara n.k.

4.Nimeona ametangaza kujenga barabara kiwango cha lami angalau Km. 2000 si haba.

5. Amepanga kuboresha bandari kwaajili ya biashara ni wazo zuri.

6. Kilimo anafanya vizuri nimeona program kadhaa pamoja na support kwa wakulima kuinua kilimo kama wataendelea hivi tutakua na positive outcome.

7. Maji anafanya vizuri Jumaa Aweso wizara inafanya jitihada kuhakikisha miradi iliyoanzishwa inafanya kazi japo changamoto zipo.

Na mengine mengii. Lakini pia ningependa kutoa ushauri wangu kwa sekta ambazo bado naona hazifanyi vizuri

1. Madini na vito vya thamani naona bado serikali hii haijatoa kipaumbele kusimamia hii sekta kwa sababu hatuoni outcome kama kuna linalofanyika basi angalau displays.

2.Gesi na mafuta sijajua kama baadhi ya project zilizo kwenye mpango zipo hatua gani maana naelewa hizi ni project kubwa zinazohitaji fedha nyingi lakini ni vyema ukawaeleza watanzania hatua mbali mbali tulizofikia.

Mambo ni mengi yamefanyika for 2 years and a half lakini nimegusia machache pia ya kuangalia . So far so good unakwenda vizuri asikubali kuyumbishwa na wanasiasa japo hilo ndio jukumu lao wa opposition .
Hafanyi vizuri hata kidogo, Ako tempted
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom