RC Chalamila usafiri wa treni DSM | wananchi wafunguka haya mazito

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,318
24,218
08 November 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Wana-DSM wakataa kuitikia salaam ya RC Albert Chalamila ya : Jamhuri ya Tanzania Kazi Iendelee!

View: https://m.youtube.com/watch?v=kM_aAsBDN74
RC Albert Chalamila behewa kwa behewa asikiliza kero za abiria watumiaji wa treni ya mjini iliyopo jijini Dar es Salaam

Mamia ya wasafiri wa treni jijini Dar es Salaam wanaoelekea maeneo Airport, Gongo la Mboto, Pugu n.k wapandwa na jazba wakataa kuitikia salaam ya Jamhuri ya Tanzania Kazi Iendelee!

Mkuu wa mkoa astuka hali hii ya kisiasa wananchi kukataa kuitikia kauli mbiu ya awamu ya sita kwa sababu kero hii imewakifu na wailaumu TRC na serikali kukosa kuwajali na wananchi wananyanyasika katika nchi hii huru ya Tanzania.
 
Jana niliona watu wamening'ia mlango na vituo vingine halikusimama kabisa. Kwa maoni yangu nadhani TRC wanajitahidi sema mahitajibni makubwa kuliko uwezo wa kubeba abiria hasa nyakati za piki time asubuhi na jioni muda ambao watu wengi huenda na kurudi makazini.

Pia wakati wa mvua abiria wengi hutumia treni baada ya njia mbadala (barabara) kushindwa.
 
Hii inatisha kisiasa mkoa wa Dar es Salaam wenye wajanja wengi kuliko mkoa wowote Tanzania , ikiwa wananchi hawakuitikia salaam tajwa za CCM awamu ya sita maarufu kama : Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ! Kazi Iendelee!
 
Back
Top Bottom