Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi.
Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema...
Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini na Waziri Cosato Chumi ameshauri serikali kuona namna ya kuangalia ili iweze Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kupungua kidogo ili kuwawezesha watu wengi zaidi...
IGP Sirro amemshukuru mfanyabiashara maarufu mjini Iringa ASAS kea kulijengea Jeshi la Polisi ghala la kuhifadhia silaha
Sirro amesema yeye ni mwenyeji wa Iringa kwani Form 5 na 6 amesoma...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya...
Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam.
Basi hizo Hela zielekezwe...
Straight to the point;
Yaani ofisi za SIDO zilizojengwa Wilayani Chato enzi za utawala wa jiwe leo hii ni kiwanda cha KOBUCHA" Hii ni aina ya Pombe inayotengenezwa kwa kutumia Tangawizi.
Swali...
"Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini
"Serikali...
Ushauri tu; Gandhi alivaa shuka sio sababu alikuwa hana pesa za Mavazi mengine na ingawa ilimfanya a-connect na masses (kuwa mmoja wao) bali huenda hii ilikuwa ishara ya Mgomo.... (Mgomo dhidi ya...
Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu...
Nimekuwa nikifuatilia mara kwa mara mikutano ya bunge kila ninapopata nafasi.
Kinachonisikitisha ki kuona viti vina wabunge wachache mnooo.
Sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1. Wote wanalipwa...
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025...
Tumeshapeleka barua ya kutoa taarifa ya maandamano polisi kwa OCD Mbeya kama sheria inavyotaka. Natumai polisi nao wataandamana siku hiyo kwa kuvaa sare za polisi na kofia (Ballet) nyekundu kama...
Salam wa nyuki wa mama na team kupinga ubadhirifu, unyanyasaji na mikataba yenye kuleta hasara kwa nchi.
Akina Slaa na Mwabukusi safari hii wamecheza kama pele, wametumia mtandao vizuri kucheza...
Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.
Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona hisia kalia sana, maumivu makubwa sana, uchungu mkubwa sana wa Watanzania huku mitaani kwangu wanapoendelea kusikia na kufuatilia kile kinachoendelea katika bunge...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa sasa hali ni mbaya sana sana ndani ya CHADEMA ,chama kimepasuka na kugawanyika vipande vipande.hakuna maelewano,hakuna mipango wala mikakati ya pamoja,hakuna...
Huu ni mrejesho wa yenye kujiri:
(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:
1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:
"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye...
Nimesikiliza na kuangalia Bunge kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) bila shaka Serikali inatakiwa kuangalia taasisi hii au mamlaka hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.