Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
1 Reactions
3 Replies
600 Views
Kama tulivyowaahidi kwamba tutachukua hatua za haraka za kisheria kwa OCD Mbeya kwa kitendo chake cha kumkamata kinyume na sheria kisha kumpiga na kumchania nguo katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa...
23 Reactions
53 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako...
9 Reactions
150 Replies
7K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Katika kile kinachoonekana ni shift of economic powers baina ya Mikoa,Mkoa wa Mwanza na Jiji la Mwanza kiujumla vimezidi kuporomoka kiuchumi na hivyo kuondoa ushawishi...
4 Reactions
133 Replies
10K Views
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema Hakmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeongoza kwenye makusanyo ya Mapato kitaifa. Ummy amesema Jiji la Dar es salaam limekusanya zaidi ya tsh 67 bilioni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo. Dr. Makakala ni...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Baada ya memba wa JamiiForums.com kulalamikia mchakato wa kuwaondoa Wananchi walio ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Mgori mamlaka zimejibu na kutoa ufafanuzi, soma hapa hoja ya Mdau - Watu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Afisa Tarafa ya Ilongero mkoani Singida, Yahaya Njiku leo Novemba 10, 2023 amefungua Mafunzo ya Ujasiriamali Tarafa ya Ilongero yanayoendeshwa na Shirika la kiraia la Star Entrepreneur General...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Hili liwekwe tu wazi tusichekeane, hatutafanya uchaguzi 2025 kama hatujapata katiba Mpya hivyo hatutarajii kuona viongozi wasiochaguliwa na wananchi tuelewane hapo. Patakuwa kivumbi na jasho...
8 Reactions
13 Replies
948 Views
Salaam, Kwakweli katika kufatilia vipindi vya bunge sijawahi kuona mbunge akichangia hoja halafu mwishoni aseme siungi mkono hoja! Mara zote huwa wanatoa malalamiko weee ya kukosoa hoja hiyo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge. Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo...
9 Reactions
156 Replies
16K Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan...
9 Reactions
69 Replies
6K Views
Wanabodi, Hii ni TV Program Alert nyingine kufuatia ile ya mwanzo. Kufuatia mjadala mkali ulioibuka humu jf kuhusu uchaguzi uliopita kama ulikuwa huru na wa haki, na kama Tume ya Uchaguzi...
4 Reactions
95 Replies
12K Views
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Novemba 10, 2023 Jijini Dar Es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Tuzo za HAPAwards Bi. Tina Weisinger na Makamu...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
(Chini ya Kanuni za 60(2) na 61 za Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari, 2023) Mheshimiwa Spika, natambua kuwa mwaka 1998, Serikali ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Serikali na kufanya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na...
1 Reactions
3 Replies
676 Views
Tunatoa shukrani nyingi sana kwa jeshi la polisi kufanikisha maandamano yetu ya jana kwa asilia 100% mlikosea kubeba bunduki na vifaa vingine wakati tuliwaambia maandamano yetu ni ya amani. Kuhusu...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom