Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.

Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.

Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa CHADEMA , Freeman Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.

Source: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.

Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.

Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

_"Be aware" Pascal at work!
 
huyu ni kibaraka hana jipya tume itakuwaje huru wakati wasimamizi wa uchaguzi wanaambiwa,nimekuteua mimi,nakulipa mshahara mimi,nakupa nyumba ya kuishi mimi,nakupa gari ya kutembelea nakuwekea mafuta ya bure mimi,,ole wako umtangaze mpinzani mshindi uone!!
 
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.

Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
I
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
njaa mbaya sana
 
Mayalla yeye ni nani hadi unamtukuza hivyo? Anachofanya Mayalla ni kulazimisha sauti yake imfikie mh Rais ili amjulie angalu
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.

Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.

Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

In God we Trust
 
Alikuwa anaichambua siku ya wanawake duniani!
Kwa hiyo naye kishawekwa kwenye kundi la wanawake?? Namwonea huruma sana Paskali. Nasema ukweli; Nilikuwa shabiki wake sana. Hakuna uzi alioandika/changia nikaacha kuzoma kila neno. Mwanzoni alikuwa poa sana, mtema nondo kweli kweli. Alipoona kuwa asipojikomba atasahaulika; na hii ndio kweli. Akaanza kujikomba komba hadi kusema/kuandika kikolomije angaloa akumbukwe. But, it's too late Pascal. No more nominations labda usali sana wapunguzwe na kifo
 
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.

Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.

Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Kama viko chini ya rais basi vinawajibika kwa rais hivyo havina maamuzi yake kama taasisi huru. Nimekuteua mimi mshahara nini kulipa mimi, nyumba na gari nimekupa mimi halafu nisikie umemtangaza mpinzani ameshinda utanitambua.
 
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.

Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.

Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Atoe unafiki wake yeye nani wa kumpangia Mbowe masharti? Ukabila tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom