Bila katiba Mpya CCM hamuingii madarakani 2025

Hili liwekwe tu wazi tusichekeane, hatutafanya uchaguzi 2025 kama hatujapata katiba Mpya hivyo hatutarajii kuona viongozi wasiochaguliwa na wananchi tuelewane hapo

Patakuwa kivumbi na jasho, vuta nikuvute shati kuchanika hapigwi mtu hapaaa. Tumechoka!
Hawaingii madarakani wakati tayari wapo madarakani???
 
Katiba Mpya na hasa tume huru inahitajika mapema sana na kwa haraka sana, ili kuwarudishia watanganyika haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa, hii Katiba mbovu tuliyonayo kwa sasa imetupora hiyo haki yetu, kwa kutoa upendeleo wa wazi kwa Rais aliyepo madarakani ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
 
Hili liwekwe tu wazi tusichekeane, hatutafanya uchaguzi 2025 kama hatujapata katiba Mpya hivyo hatutarajii kuona viongozi wasiochaguliwa na wananchi tuelewane hapo.

Patakuwa kivumbi na jasho, vuta nikuvute shati kuchanika hapigwi mtu hapaaa.

Tumechoka!
Nimekuja mbio sana kukusoma huku ndani baada ya kuona kichwa cha mada ulichokiweka hapo juu.

Mbona huku ndani ume paacha patupu mkuu 'Mpyayungu Village'.
Sisi wengine tungependa sana iwe kama hivyo ulivyo elezea kwa kifupi, lakini bila ya ufafanuzi jinsi hayo uliyowasilisha yatatimizwa.

"Patakuwa kivumbi na jasho, vuta nikuvute shati kuchanika hapigwi mtu hapaa."

Hayo yatatokea vipi, na ni kina nani wahusika katika yote hayo?

Umeona mipango mahali popote hayo yakipangwa na kikundi chochote cha siasa au raia waliochoka na hali ilivyo sasa?
Tueleze, ili nasi tulio pembeni lakini tunayo hamu kuba kuyaona hayo, ili nasi tuweze kuchangia juhudi zinazofanywa na hao wazalendo.
 
Kimenuka !!
EEEeeenHEEEEeee. Wapi huko?
Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya,

Uchaguzi mkuu utayeyuka.
Kwa vipi hasa!

Watu mnafanya utani sasa kwa jambo ambalo halina utani ndani yake.
Hali inavyoonekana sasa ni kama CCM wapo kwenye mteremko wa kuendeleza hujuma zao za siku zote, tena kiurahisi zaidi kuliko wakati mwingine wowote!
 
Hili liwekwe tu wazi tusichekeane, hatutafanya uchaguzi 2025 kama hatujapata katiba Mpya hivyo hatutarajii kuona viongozi wasiochaguliwa na wananchi tuelewane hapo.

Patakuwa kivumbi na jasho, vuta nikuvute shati kuchanika hapigwi mtu hapaaa.

Tumechoka!
Hakikisha unapoongea maneno hayo uko sehemu salama 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hili liwekwe tu wazi tusichekeane, hatutafanya uchaguzi 2025 kama hatujapata katiba Mpya hivyo hatutarajii kuona viongozi wasiochaguliwa na wananchi tuelewane hapo.

Patakuwa kivumbi na jasho, vuta nikuvute shati kuchanika hapigwi mtu hapaaa.

Tumechoka!
Anasikika mwananchi mmoja mlevi na anataka kuzuia uchaguzi,Tanzania hii hajazaliwa kiumbe wa kuzuia uchaguzi,simple fact utazuiwa wewe kabla ya kuukaribia huo uchaguzi unafikiri mishahara wanaolipwa TIS,JWT,PT nk ni Bure.
 
Back
Top Bottom