Tumewasilisha kesi kwa hati ya dharura ili polisi waondoe zuio lao dhidi ya maandamano

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Tunatoa shukrani nyingi sana kwa jeshi la polisi kufanikisha maandamano yetu ya jana kwa asilia 100% mlikosea kubeba bunduki na vifaa vingine wakati tuliwaambia maandamano yetu ni ya amani. Kuhusu kukamatwa kwa Gwamaka Mbughi na kupigwa tayari tuko kwenye hatua za haraka za kisheria dhidi ya OCD.

Tulikuwa tunamtafuta sana OCD na sasa kayakanyaga ameingia kwenye 18 zetu kama tulivyotaka na muda wake wa kujuta umefika.

Kuhusu sisi na raia wengine kuzuia kuandamana tayari tumewasilisha kesi mahakama kuu kwa hati ya dharura kutaka mahakama kuu kuwalazimisha polisi kuondoa zuio lao haramu la kuzuia maandamano yetu. Kwa sasa tunasubiri vitu vichache mahakama ikamilishe kuweza kupanga tarehe na jaji wa kuanza kusikiliza kesi hiyo.

Maandamano yako palepale ndio kwanza haya ni manyunyu tu mvua yenyewe ya mawe inakuja. Yani hatuachi maandamano maana tumegundua ndio mnayoyaogopa. Kwa hiyo maandamano ndio kitu pekee kitawawajibisha muache wizi wa fedha za umma na kuuza rasilimali za nchi hii kwa kusaini mikataba mibovu.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
20231110_064918.jpg
IMG-20231108-WA0004.jpg
 
Sisi tupo tumeandamana kuondoa

Ujinga kwa wanafunzi watanzania wa kesho

Kila mtanzania aandamane kupambana na anauhisi ni Adui amuondoe

Polisi nao wanaandamana kuondoa waandamanaji
 
Tunatoa shukrani nyingi sana kwa jeshi la polisi kufanikisha maandamano yetu ya jana kwa asilia 100% mlikosea kubeba bunduki na vifaa vingine wakati tuliwaambia maandamano yetu ni ya amani. Kuhusu kukamatwa kwa Gwamaka Mbughi na kupigwa tayari tuko kwenye hatua za haraka za kisheria dhidi ya OCD.

Tulikuwa tunamtafuta sana OCD na sasa kayakanyaga ameingia kwenye 18 zetu kama tulivyotaka na muda wake wa kujuta umefika.

Kuhusu sisi na raia wengine kuzuia kuandamana tayari tumewasilisha kesi mahakama kuu kwa hati ya dharura kutaka mahakama kuu kuwalazimisha polisi kuondoa zuio lao haramu la kuzuia maandamano yetu. Kwa sasa tunasubiri vitu vichache mahakama ikamilishe kuweza kupanga tarehe na jaji wa kuanza kusikiliza kesi hiyo.

Maandamano yako palepale ndio kwanza haya ni manyunyu tu mvua yenyewe ya mawe inakuja. Yani hatuachi maandamano maana tumegundua ndio mnayoyaogopa. Kwa hiyo maandamano ndio kitu pekee kitawawajibisha muache wizi wa fedha za umma na kuuza rasilimali za nchi hii kwa kusaini mikataba mibovu.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2809316View attachment 2809317
Div IV ya point 32 wakidhihirisha ukilaza wao.
 
Back
Top Bottom