Jee Kuna Tofauti Gani Kati ya KADCO na DPW ya Bandari Zetu?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,801
71,223
Tatizo viongozi wetu wana kichwa ngumu na sio rahisi kujifunza kutokana na maovu yaliyo pita.
Au ni kutudharau kuwa Watanzania hawa ni zumbukuku watatufanya nini sisi na chama chetu CCM?
KADCO imetafuna KIA na sasa kwa namna ileile DUBAI na kampuni yao DPW wanapewa watafune Bandari zetu lakini Watanzania wakitaka kupinga wanatumia watoto wetu Polisi (nao bila aibu wanakubali) kutuvunja miguu.
Nakumbuka utawala wa Dikteta wa Sudan Omar El Bashir ulipoanza kutaka kuwazuia raia kuandamana kwa kutumia polisi wake Jeshi la wananchi (kama JWTZ yetu) liliamua kusimama na wananchi hadi akaondolewa madarakani kwa kukaidi mawazo yao na ameishia kifungoni.
Kwa nini wetu hawajifunzi?

images (14).jpeg
 
Sasa kama ziko sawa namna hii imekuwaje wanaamka usingizini baada ya kupigwa na KADCO miaka 25 na kulala tena ili waliwe tena na DPW?
Boss,
Hata KADCO walishaamka usingizini kitambo tu. Wanachofanya Sasa ni kuujaribu kumkimbiza mwizi ambae walimpatia wenyewe Mali Kisha wakamuacha akimbiekie kwanza.

Unampa DP aleeee, akishashiba ndio unajidai umeshtuka
 
Sasa kama ziko sawa namna hii imekuwaje wanaamka usingizini baada ya kupigwa na KADCO miaka 25 na kulala tena ili waliwe tena na DPW?
Siku zinakwenda Kasi Sana aisee, miaka 25 imeisha nakumbuka alipewa KIA kwa milioni 100 tu
 
Wawape na mwendokasi,niko hapa kkoo lisaa sasa hamna bus,tumeshindwa kujiendesha tuwape wenye uwezo watuendeshe huku wakituibia
 
Back
Top Bottom