Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko : Asilimia 72% ya Kaya zote Tanzania Zinapata Umeme.Asilimia 90% ya Vijiji Vinapata Umeme.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,823
Akizindua Ripoti ya utafiti ya athari za upatikanaji wa Nishati ya umeme ,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko amesema Vijiji 11,079 sawa na 90% vimefikiwa na umeme na kwamba Vijiji vilivyosalia vipatavyo 1,239 vitapata umeme kabla ya June 2024 hivyo umeme kufikia Vijiji vyote.

View: https://www.instagram.com/p/CzeOOU1Nb6C/?igshid=cTYyeHpzOW85Y3Uy

My Take
By June 2025 Vijiji vyote vitafikiwa na Maji ya Bomba

By June 2024,Vijiji vyote vitafikiwa na Umeme

Na by June 2025 ,Vijiji vyote Vitakuwa vinafikiwa na Barabara

By June 2027,Vijiji vyote Vitakuwa na Zahanati

Kwa Mwendo huu kufikia 2030 Tanzania itakuwa ni Moja ya Nchi zilizoendelea sana hapa Afrika.

Hongera sana Serikali ya Rais Samia Kwa kazi nzuri.

View: https://twitter.com/FMzaramu/status/1722564567283245480?t=a7DfOKcKWyFy4k03hVYQcg&s=19
 
Back
Top Bottom