Paul makonda katibu wa itikadi na uenezi CCM awa gumzo kanda ya ziwa ni jinsi anavyoeneza chama na kutoa maelekezo kutatua changamoto za wananchi.

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Paul makonda anaangaliwa kwa jicho la Tatu kama magufuli aliyechangamka ni kiongozi ambaye siyo mwoga katika utendaji na mtu wa kutoa maamuzi ya haraka ! Wazee kwa vijana nimepita mahala wakisema ni kiongozi mwenye maono asiyependa uongozi wa matukio usiokuwa na utekelezaji , yeye ni mtu wa kazi tu ! Maelfu ya watu mkoani geita yameenda kumuona kijana huyo Matata katika mkutano wake
 
Hakuna kueneza chama zaidi ya siasa za kiki za kishamba. Hizo siasa za mbwembwe alifanya dhalimu magu, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi akaona uhalisia, hakuwa na namna zaidi ya kupora uchaguzi ili utoe matokeo yaliyoendana na propaganda zake. Alijua akikubali uchaguzi wa kweli ungetoa matokeo yaliyo kinyume na propaganda zake.
 
Rubbish
 
Mbinu anayotumia, inawagusa wale wanaoamin ni Wanyonge na ndio wengi.

Wengi wanamuona kama Magufuli.
Magufuli mwenyewe alipoona mafuriko ya Lisu kwenye kampeni, aliogopa kuamini kura za hao wanyonge wa propaganda akaishia kupora uchaguzi.
 
Hakuna kueneza chama zaidi ya siasa za kiki za kishamba. Hizo siasa za mbwembwe alifanya dhalimu magu, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi akaona uhalisia, hakuwa na namna zaidi ya kupora uchaguzi ili utoe matokeo yaliyoendana na propaganda zake. Alijua akikubali uchaguzi wa kweli ungetoa matokeo yaliyo kinyume na propaganda zake.
Wewe huna tofauti na mataahira,kila siku chuki chuki,toka upoteze hako kakivuli kako.una hangaika sana.utakufa na stress.
 
Paul makonda anaangaliwa kwa jicho la Tatu kama magufuli aliyechangamka ni kiongozi ambaye siyo mwoga katika utendaji na mtu wa kutoa maamuzi ya haraka ! Wazee kwa vijana nimepita mahala wakisema ni kiongozi mwenye maono asiyependa uongozi wa matukio usiokuwa na utekelezaji , yeye ni mtu wa kazi tu ! Maelfu ya watu mkoani geita yameenda kumuona kijana huyo Matata katika mkutano wake
CCM Ina zaidi ya miaka 60 Bado inaenezwa tu Ina shida gani!!? Bado haijaenea!!!!!?
 
DAB kafufua ile ari iliyokufa ya jpm,hata kama ni maigizo niko happy,viongozi wa pwani ni changamoto sana kwa taifa letu.
 
Paul makonda anaangaliwa kwa jicho la Tatu kama magufuli aliyechangamka ni kiongozi ambaye siyo mwoga katika utendaji na mtu wa kutoa maamuzi ya haraka ! Wazee kwa vijana nimepita mahala wakisema ni kiongozi mwenye maono asiyependa uongozi wa matukio usiokuwa na utekelezaji , yeye ni mtu wa kazi tu ! Maelfu ya watu mkoani geita yameenda kumuona kijana huyo Matata katika mkutano wake
Punguza uongo na mihemko
 
Back
Top Bottom