Askofu Mwanakula, Pd. Kitima, na Askofu Bagoza wakutana na waziri mkuu!

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
1699700247841.png


Post​












Ofisi ya Waziri Mkuu

@TZWaziriMkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania.
 
Utasikia wanataka kuanzisha chama cha siasa.

Mwacheni Kasimu, yupo mguu mmoja ndani mwingine nje
 
Zile kelele za Biteko zimeishia wapi?? Simsikii mhesh naibu waziri mkuu!!
 
Shehe ponda yuko bize kushawishi wafadhili wa magaidi wa mpe misaada kupitia maandamano.
 
Hivi yule aliyefuatwa usiku usiku huko Mbeya si ndio mmojawapo hapo.kwa nn aasimlie timing hapo hapo hadi wamsubirie mbali kote huko na usiku
 
Back
Top Bottom