Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,123
Serikali imefanya jambo jema sana kuruhusu safari masaa 24, matumizi ya gari ndogo na Costa kupakia abiria usiku, matumizi ya magari ya magazeti na IT kutumika kubeba abiria yamepungua na sasa watu wanasafiri salama na mabasi yaliyoruhusiwa
Kutokana na ubora wa mabasi yanayotumika sasa huko mikoani ni vigumu trafiki kunufaika na Tozo za uchakavu.. kutokana na ruhusa iliyotolewa ni vigumu kwa beria zilizowekwa barabarani kuendelea kuzuia magari wakisubiri kupewa rushwa ndipo watu waendelee na safari.
Magari aina ya Costa yaliyonunuliwa na matajiri kufanya biashara usiku yanakosa trip kwa sasa, kuna magari ya IT yalikuwa na utaratibu wa kutake opportunity ya usafiri wa usiku huku yakiwa siyo Bora kwa kazi hiyo. Haya yote yalikuwa yanafanyika kimagendo na watumishi walikuwa wananufaika.
Utaratibu mpya umeondoa kabisa vizuizi vya barabarani vilivyolenga kukusanya rushwa, umeondoa waliokuwa wananufaika na biashara ya usafirishaji abiria usiku bila leseni nk
Kutokana na kukatika kwa vyanzo vya rushwa wapo watu wameanzisha kampeni yakipiga marufuku utaratibu huu. Wana nguvu na wanaanza kutumia vyombo vya habari kuonyesha kusafiri usiku ni hatari ili turudi kusafiri mwisho saa sita. Watu hawa wapigwe vita.
Nipendekeze twende next stage kwa kuruhusu masoko makubwa kama Kariakoo yaanze kufanya kazi 24 hrs Hii itasaidia sana kufungua nchi kiuchumi.
Naamini idadi ya wageni wanaoingia nchini imeongezeka baada ya kuruhusu magari 24 hrs, watu wanachotaka sasa nikuwezeshwa kununua na kuuza masaa 24 ili kuendana na kasi ya mabadiliko duniani.
Nchi ipo salama turuhusu watu watafute uchumi wao 24 kwa kufungua sekta nyingi zifanye kazi kwa shifti...........kadri tutakavyo ruhusu 24 hrs ndivyo tutaongeza ulinzi wa nchi na kupunguza idadi ya watu wasio na ajira.
Mabasi yatakuwa na madereva wawili wawili, bajaji na bodaboda zitaendeshwa kwashifti, biashara zitasimamiwa kwa shifti na hivyo waajiriwa wataongezeka, askari wataingia kwa shifti na sekta nyingine zote human resource itakuwa double. Let us wake up
Kwa upande wa Zanzibar itaondoa utaratibu uliopo sasa kwamba boti mwisho saa kumi badala yake zitakuwepo boti za usiku na hivyo nchi itafunguka kumuungano zaidi