Hivi nyie CCM mtatapeliwa hadi lini?

Hivi nyie CCM mtatapeliwa hadi lini?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,039
Reaction score
74,739
Mwanzilishi wenu Bwana Julius Nyerere alisema enzi zile tukiwa vijana kwamba "Mtu alikudanganya huku anajua kuwa unajuwa kuwa anakudanganya, basi anakudharau".

Sasa nyie hamjui kuwa Makonda aka Bashite anawakebehi na kuwadanganya hapo?

Anyway, mmekubali anawadanganya huku anajua kuwa mnajuwa (haiwezekani wazee wote hao ni wajinga) kuwa mna dandanywa basi KAWADHARAU.

Mtakubali kuonwa mazumbukuku hadi lini nyie watu?

Kawadanganya nini sasa hapo, wewe una tatizo la mtindio wa ubongo bila shaka!
 
Kwa vile wewe ndiye Mungu????.......Hata wewe utakapokufa hivi karibuni na kufukiwa kama JIBWA huchomoi, safari yako ni motoni tu, KUDADEKI!
We mbona unajitanabaisha kama Bashite mwenyewe? Maana kila hoja ya Bashite umo ukitetea na sio kwa hoja bali kijinga kama alivyo!
Ndio shida ya ziro brain kujificha ni ngumu
 
Imeanza lini mtu hai kuombewa na mfu aliye kuzimu?

Na kama kuna moto kweli basi Mzee wa Chato ni wa motoni tu.
Hizi ni ibada za kipagani kama wapagani wengine tu. Hakuna uhusiano wowote kati ya waliohai na wafu maana kumbukumbu lao limekwishapotea. Na Mungu Mwenyeenzi alishakataza hizi ibada. Bashite anachokifanya anakijua na kweli anafahamu anawatapeli maccm mengi ni mburura
 
Naona mshasahau maswala ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mpo mnahangaika na Makonda
 
Back
Top Bottom