Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,396
3,901
📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji safi na Salama katika Mji wa Katoro ulipo Kata ya Ludete Wilayani Geita mara baada ya kupokea changamoto hiyo kutoka kwa Wanachi hao aliozungunza nao njian akiwasili katika Mkoa wa Geita katika ziara yake ya Kikazi leo tarehe 11 Novemba, 2023.

Katika Majibu yake, Waziri Awesu amesema kuwa zilishatolewa fedha Tsh Bilioni 6.5 kwa mradi wa maji eneo hilo na mradi umeshavuka asilimi 90% na ndani ya wiki tatu mradi huo utakuwa umekamilika na Wakazi hao kunufaika kwa kupata maji safi na salama.

Aidha, Mhe. Awesu amesema Geita Mjini kuna fedha zaidi ya Tsh Bilioni 128 na Chato zaidi ya Tsh Bilioni 38 kwa miradi ya maji katika miji ambapo amesema katika jumla ya Vijiji 436 tayari Vijiji 333 huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama imefika.

Naye Mwenezi Makonda amempongeza Waziri Awesu kwa maelezo yake na kumtaka kuhakikisha anatekeleza ili kukamilisha ahadi yake aliyoitoa kwa Wananchi hao kwani kuwadanganya ni sawa na kuifanya CCM ionekane inajinadi katika uongo.

leo tarehe 11 Novemba, 2023 wakati aliposimama na kuzungumza na Wananchi wa Katoro katika Kata ya Ludete akiwa ziarani Mkoani Geita.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#TunaendaNaMama
 
Yeye ni Waziri mkuu anaamrisha mawaziri au mnacheza na akili za watu tu nyie

Maana hua hamuishiwi maigizo
 
Kweli hii siasa sasa.Realistically hii mwenyewe angekuwa waziri asingeweza kupromise hii kitu kuwa true in three weeks

Sema uzuri wa watz hapa watakwambia huyu sasa ndio mchapakazi kwa kauli kama hizi
 
WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji safi na Salama katika Mji wa Katoro ulipo Kata ya Ludete Wilayani Geita mara baada ya kupokea changamoto hiyo kutoka kwa Wanachi hao aliozungunza nao njian akiwasili katika Mkoa wa Geita katika ziara yake ya Kikazi leo tarehe 11 Novemba, 2023.

Katika Majibu yake, Waziri Awesu amesema kuwa zilishatolewa fedha Tsh Bilioni 6.5 kwa mradi wa maji eneo hilo na mradi umeshavuka asilimi 90% na ndani ya wiki tatu mradi huo utakuwa umekamilika na Wakazi hao kunufaika kwa kupata maji safi na salama.

Aidha, Mhe. Awesu amesema Geita Mjini kuna fedha zaidi ya Tsh Bilioni 128 na Chato zaidi ya Tsh Bilioni 38 kwa miradi ya maji katika miji ambapo amesema katika jumla ya Vijiji 436 tayari Vijiji 333 huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama imefika.

Naye Mwenezi Makonda amempongeza Waziri Awesu kwa maelezo yake na kumtaka kuhakikisha anatekeleza ili kukamilisha ahadi yake aliyoitoa kwa Wananchi hao kwani kuwadanganya ni sawa na kuifanya CCM ionekane inajinadi katika uongo.

leo tarehe 11 Novemba, 2023 wakati aliposimama na kuzungumza na Wananchi wa Katoro katika Kata ya Ludete akiwa ziarani Mkoani Geita.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#TunaendaNaMama

Makonda ndio alifaa kuvaa viatu vya jpm,huu ndio mwendo sahihi wa kuharakiaha maendeleo mana sio kwamba pesa hakuna ila ni vile wahuni wanakwamisha mipango.
 
Back
Top Bottom