Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,681
Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
 
'Ngosha', 'Patatosha huko'?

'Wacha wamumune'

Give me Five
screenshot_20230514-154115-2-jpg.2623924
 
Kwa tetesi hii hata kama alikuwa kweli ateuliwe hapa unaweza upeperushie mwenzio njiway.
 
Ngoja tuone...
Akiteuliwa itamaanisha Mama alikuwa Bega kwa Bega na Simba mwenye sharubu aliepita.
 
Back
Top Bottom