Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi zetu za kiafrika uzalendo uko chini sana na hasa hasa kwetu Tanzania Nieleweke neno uzalendo hapa namaanisha ile hali ya mtu kuwa commited kutekeleza majukumu yake kikamilifu kutoka ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
366 Views
"Nilipokosa ubunge wa jimbo la Ubungo, Mzee Membe akanifata na kuniambia tulia kijana wangu. Mwaka 2015 nitakuachia jimbo la Mtama mimi nitakuwa namaliza muda wangu. Kutokana na ukaribu wa Mzee...
18 Reactions
76 Replies
5K Views
Hbr, kwa jinsi ninavyoona mambo yanavyokwenda, uchaguzi ujao utakuwa ni kati ya JPM na wanasiasa, mwanasiasa yeyote atakayetembea ktk nyayo za Hayati Magufuli bila kujali chama chake na nguvu...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Mara apande Baiskeli, mara Troli na saa nyingine unaona kama vile amelazishwa kufanya baadhi ya matukio. Ni kweli CCM ilishakufa na hakuna namna ya kuizindua tena si Makonda wala nani. Kwani...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama unabisha waulize walilofanya kazi na Cleopa Msuya, Sokoine na Salim Ahmed Salim Kumsifia Sifia Kiongozi ilihesabika kama Rushwa na hata Nyerere ilikuwa ukishasema " Zidumu Fikra sahihi za...
2 Reactions
5 Replies
627 Views
Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi...
3 Reactions
3 Replies
975 Views
Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya...
24 Reactions
98 Replies
7K Views
Unajua kuna vitu ktk maisha lazima ujiulize. Tangu rais achukue ofisi ya inchi ana hasira na wafanyakazi. Je tutamwelewaje wakati kuna vitu ni vya kawaida ktk utumishi wa umma mfano stahiki za...
37 Reactions
229 Replies
19K Views
Wakuu... Leo maombeni mnijuze, kwanini Captain Mstaafu George Huruma Mkuchika kila Baraza jipya la Mawaziri huwa hakosi. Ukiangalia umri wake ni kama umeshamtupa mkono, lakini bado anaaminiwa na...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Hodi Wana JF, Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Ili mradi asivunje sheria kwenye mchakato wa hii Katiba Mpya. Wana siasa na wale wote wabobezi wa mambo ya Katiba njoni na hoja za nguvu siyo...
2 Reactions
12 Replies
762 Views
Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimeinukuu toka kwa Millard Ayo. Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema licha kufanikiwa kuchangia pato la Taifa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Tanzania imepitisha na kutekeleza mageuzi kadhaa ya kisera yakiwemo marekebisho ya hivi karibuni ya...
1 Reactions
0 Replies
274 Views
Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
UPEPO wa kisiasa si shwari kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Igunga baada ya wafanyabiashara mashuhuri walioombwa na chama hicho kuchangia sh milioni 300 kugoma kutoa fedha...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Sintasema mengi, lakini hivi jiulizeni shida ya ukweli ni nini? Ni maji? Ama ni uchakavu wa mitambo? Je, gesi inatusaidia? Kwanini kila uongozi ukija wanashindwa kutatua swala la TANESCO? Kwanini...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi)...
2 Reactions
5 Replies
704 Views
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo...
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Back
Top Bottom