Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“ Mimi nimekuwa Mkuu wa Mkoa hapa, sijawahi kuandika barua kuwasema Viongozi wenzangu wa chini, lakini kwa speed mnayoenda nayo, na kwa namna ambavyo nyie mnapenyeza ‘vimemo’ kwa Wakubwa, na mimi...
10 Reactions
49 Replies
7K Views
Sitaki kuamini kwamba Uchapa kazi wako ulitokana na Msukumo wa Hayati JPM . Sitaki Kuamini kwamba wale wanaosema wewe sio kiongozi sahihi, wako sahihi. Sitaki kuamini kwamba na wewe ni sehemu ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni katika kuwekana Sawa tu na kuondoa sintofahamu kwa Baadhi ya Watu Komredi Makonda Ndiye Msimamizi mkuu wa Itikadi ya CCM, Uenezi wa Chama na Mafunzo Hadi sasa hajatenda nje ya Shughuli zake...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Maana sisi ndio tulipaswa kupambana ili dhuluma , ufisadi na uonevu wa CCM uwekwe wazi. Lakini tumebako kubug'aaa tu. Leo hii wananachi wanataka kuona wazembe, mafisadi na wapigaji...
5 Reactions
17 Replies
951 Views
Tayari Bungeni limesoma miswada hii kwa mara ya kwanza Novemba hii ,hivyo kutoa fursa kwa wananchi,vyama vya siasa,wadau na wana demokrasia kuchambua ,kujadili na kubainisha maeneo yenye upungufu...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Itoshe kusema Kimya kina mshindo. Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana.. Vipi? Ni kishindo cha Makonda? Au ni mipango tu? Ni ukata wa fedha au pumzi? Hoja, dira na...
3 Reactions
14 Replies
808 Views
Serikali imesema Wananchi 2,400 wanaopisha uendelezaji Bonde la Msimbazi tayari wameanza kulipwa fidia zao leo, hatua hii inakuja baada ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kuongea na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022. Dkt...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Ni muda sasa nchi yetu imekuwa katika adha ya upatikanaji wa nishati itokanayo na umeme. Kwa maoni yangu nafikiri ili tuepukane na tatizo hili kama nchi tunatakiwa kufanya yafuatayo: 1) Kwanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Tatizo la Nishati Tanzania sio tatizo la mgao pekee bali ni janga la taifa. Hatuwezi kuwa ma maendeleo kwenye nchi yetu bila kutatua tatizo la nishati. Raisi wa Nchi anatakiwa kukaa na wahusika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya...
2 Reactions
1 Replies
761 Views
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme. Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni: 1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo 2. Trilion 360 za Makinikia...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Pamoja na mbinyo wa kidemokrasia tangu kuanza kwa awamu hii ya tano, Oktoba haitabiriki. Oktoba inaweza kwenda mrama na kukiacha chama tawala kikilalama. Oktoba inaweza kuleta kivumbi cha...
22 Reactions
49 Replies
4K Views
Kimbelembele changu kiliwahi kuniponza. Niliwahi kwenda ofisini kwa Paul Makonda, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. Mazungumzo yenyewe yalitakiwa na yeye mwenyewe...
53 Reactions
61 Replies
7K Views
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale. Kuna mambo...
7 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom