Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho...
Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya...
Kinachoendelea inabidi kifanyike kuanzia ngazi ya mtaa kwa wanajamii, Kinachoendelea inabidi kifanywe na wabunge majimboni kwao kwa kukusanya kero za wananchi,
Kinachoendelea kufanywa na CCM...
Tanzania inahitaji Viongozi wenye upeo wa aina ya Said Mtanda. Tukiendelea na biashara ya kusubiri vikao kutatua kero za Wananchi kwa visingizio vya demokrasia wanayotaka kina Kagasheki (Wazee...
Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga.
Ndugu Paul Makonda
Wengi wanaamini kuwa...
Wadau hamjamboni
Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi.
---
Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).
Kabla ya uteuzi huu
Salum...
Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Novemba 14, 2023 ameshiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Edward Magige ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa...
Mradi wa Maji huko Arusha unaelezea madudu yote yanayofanywa na serikali na wachina wanaowapendelea sana kuwapa tenda.
Isingekuwa mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni, ingekuwa kama waswahili...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imepunguza tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kwa lengo la kuvutia wateja zaidi katika kipindi hiki chenye ushindani mkubwa wa kibiashara...
Kipindi Samia anaweka tozo alikuja na ahadi lukuki ya kuendeleza miundombinu ya elimu na maji kupitia makusanyo ya tozo.
Nilikwenda mikoa ya kusini kuzungukia shule za msingi za vijijini, kisha...
Makamba hauaminiki kwa sababu una majibu yasiyojitosheleza na yanayochelewa kuja kwa wakati, na mara nyingine hauna consistence kwenye majibu yako.
Leo unasema hivi, ukipingwa unabadilika kesho...
Wanabodi,
Tanzania ni nchi yetu, Rais Magufuli ni rais wetu, kwa vile rais hawezi kufanya kila kitu mwenyewe, hivyo anateua wasaidizi wake wa aina mbalimbali, wakiwemo mawaziri na ma naibu...
Kuna ukweli gani, naona tunazidi kudidimia kiuchumi kwa hali ya mmoja mmoja, watu wapo taabani bin hoi na shida ya mlo mmoja kwa siku inazidi kukuwa, wananchi wanaishia mihogo kwa chai mkate na...
Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk...
Nimefutlia siasa za bongo nimegundua aliyoyasemwa dk. Watson, kwamba "anawasiwasi na akili ya mtu mweusi " ni kweli na hili linathibitishwa na mchakato wa watia nia wamagamba ambao hugombaniwa...
Baada ya kukaa kwa muda nikizunguka maeneo mbali mbali ya Tanzania, nimeona kuna ombwe kubwa sana la uwezo wa kufikiri ndani ya jamii yetu na uwezo huo umegawanyika katika makundi makuu matatu...
DC ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika. Na Cloudsmedia wapo wilaya ya Kinondoni inayoongozwa na Ally Happi. Baada ya RC Makonda kuvamia studio za Cloudsmedia kwann DC...
Habari zenu wanaBodi,
Kilichomtokea aliyekuwa Waziri wa Michezo na Mbunge wa Mtama, Mh. Nape Nnauye, kwa mtazamo wangu sio ushujaa, bali ni matokeo ya siasa zake chafu katika Nchi hii ama kwa...
WATANZANIA WANA IQ NDOGO KULIKO NCHI ZOTE ZA AFRIKA MASHARIKI.
Na Thadei Ole Mushi.
Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.
Mwaka jana kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.