Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha, Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP Taarifa zaidi kukujia ======== Tweet yake ya mwisho ilikuwa...
13 Reactions
164 Replies
18K Views
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa...
12 Reactions
126 Replies
11K Views
Julai 17 2023 Mahakama ya Rufaa ilitoa maamuzi ya rufani iliyowasilishwa na Wakili Msomi Peter Madeleka dhidi ya plea bargain iliyoingiwa kati yake na DPP. Tangu siku hiyo ya hukumu Wakili...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa...
25 Reactions
162 Replies
12K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia Hadhi Maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani diaspora ifikapo mwaka 2024. Hayo yamesemwa katika...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
https://youtu.be/ZjF8cpKA9kA Katika homilia yake ya kwanza kama Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Kardinali Rugambwa, amehusianisha hadithi ya wanawali kumi na utunzaji wa rasilimali za nchi...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka kamisheni ya maafa iweke mipango ya kuzuia maafa siku zote na sio kusubiria maafa yatokee na watakeleze hayo...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
MTWARA; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini (tanesco), kumsimamisha kazi Meneja wa Huduma kwa wateja kwenye shirika...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili tumewahi kuliandika humu na tunarudia tena, kwamba hata Mchawi hawezi kupenya kwenye jambo la pamoja, mkishaweka msimamo wa pamoja hata iweje hamuwezi kuhujumiwa. Hiki ndicho kimeifanya CCM...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii. Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia...
21 Reactions
51 Replies
3K Views
Hili halina ubishi, waziri Mkuu maagizo yake mengi aliyoyatoa yanapuuzwa au yanatekelezwa kwa kiwango duni sana, tofauti ya Kassim Majaliwa wa hayati Magufuli na wa Samia ni mbingu na ardhi. Kuna...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Leo Tarehe 14 / 11 / 2018 imetimia miaka mitatu kamili tangu kuuawa kishenzi na kinyama kwa kiongozi wa Chadema , Alphonce Mawazo , huku mpaka sasa Jeshi la Polisi likishindwa kuwajua wauaji wake...
12 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda . Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC...
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Ni ushauri tu Naelewa Wastaafu wanajengewa Dar es salaam lakini ingependeza zaidi Wajengewe na Vijijini kwao Ila kwa Mahekalu niliyoyashuhudia Machame wakati wa msiba wa Mzee Mengi hako...
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Mwl Nyerere, ila leo kunakitu. Jambo hili la ukabila Mwl alikemea sana; dalili au viashiria vyake, hongera Mwl. Leo hii tena baada ya miaka mingi kuna hisia za viongozi kutaka kupanda mbegu za...
9 Reactions
87 Replies
4K Views
Kuna wakati ujinga wa wapinzani, hujianika peupe kiasi cha nyeti za kuku mbele za upepo wa kisulisuli. Nijuacho ni hiki! Anguko lolote la CCM, ni sherehe kwa wapinzani, iweje sasa wachukizwe na...
3 Reactions
3 Replies
828 Views
Na Mwl Udadis, DSM-CBD Kipimo cha mafanikio ni matokeo ya kile unachokusudia kifanyike. Kuna wakati baadhi yetu tulihoji ni wakati gani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia...
1 Reactions
1 Replies
542 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya katika harakati za kumsifia Dr Tulia Ackson amesema atakuwa peke yake mwaka 2025. Kauli hiyo imejadiliwa sana na gazeti la mwananchi la leo, ambapo wasafi FM wakisoma...
3 Reactions
6 Replies
852 Views
Back
Top Bottom