Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,716
- 36,187
Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii.
Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi.
Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni ya hovyo yamefanywa na watumishi wa umma.
Ila hatua zimechukuliwa haraka kwa matukio yale tu yaliyomulikwa na vyombo vya habari.
Muache kumfukuza au kusimamisha kazi watumishi kwa kutafuta kiki za kujiimarisha kisiasa.
Kama mmeweka gharama kwa kila mama atakayefanyiwa operetion ya uzazi jukumu la watumishi ni kusimamia mulichokiweka.
Wakisimamia na kutokea madhara munakuja juu. Ondoeni gharama zote anazopaswa kulipishwa mjamzito na mtoto mdogo.
Huduma za afya mbavu, hospital za umma na vituo vya afya wanachama wa NHIF tunapata dawa grade ya 3 zisizo na ubora mwilini, na mara nyingi tunaambiwa dawa tukanunue kwenye maduka ya hospitali.
Serikali imefeli katika kila jambo. Maji, umeme, afya na elimu.
Kazi ya viongozi ni kupekua YouTube ili wakutane na tukio watoe kauli za kiki waonekane wana akili timamu na uchungu kwa wananchi.