Nape: Membe alinisaidia kwa Rais Kikwete nikapewa u-DC

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
"Nilipokosa ubunge wa jimbo la Ubungo, Mzee Membe akanifata na kuniambia tulia kijana wangu. Mwaka 2015 nitakuachia jimbo la Mtama mimi nitakuwa namaliza muda wangu.

Kutokana na ukaribu wa Mzee Membe na Rais Kikwete nikapewa Ukuu wa Wilaya ya Masasi ambapo ni karibu na jimbo la Mtama" - Mh. Nape Nnauye akimuelezea Mh. membe.

Umejifunza ni nini hapo? Tafuta connection kwa hali na mali
 
Lucas Mwashambwa anatakiwa aelewe kwamba kuna watu wanapigiwa simu na kuulizwa fulani unataka UDC!? na watu hawa wapo kwenye phonebook ya mheshimiwa jibu lake ndilo litakaloamua maamuzi ya mkuu

Ile mikeka inatokaga huku watu wakiwa wanajua kabisa position zao..
 
Back
Top Bottom