johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,136
Kama unabisha waulize walilofanya kazi na Cleopa Msuya, Sokoine na Salim Ahmed Salim
Kumsifia Sifia Kiongozi ilihesabika kama Rushwa na hata Nyerere ilikuwa ukishasema " Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM" unakuwa umemaliza hakuna Mapambio
Tene inasisitizwa " Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa CCM" siyo Fikra za Nyerere kama Julius
Lakini siku Hizi Viongozi wa CCM wanaongoza kwa kupenda sifa wakifuatiwa na wale wa Chadema kisha Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo
Na haya mambo ya kusifiwa sifiwa yalichochewa sana na Shujaa Magufuli na Tundu Lisu
Lowassa Ndiye Kiongozi wa CCM asiyependa Sifa pamoja na Dr Shein wa Unguja 😆😆
Mungu wa Mbinguni awabariki!