Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini. Kupelekwa kwa faru...
11 Reactions
97 Replies
6K Views
Katibu wa Itikadi naUenezi chama cha Mapinduzi (Paul Makonda) amewataka viongozi wa Umma na wa siasa kuacha mara moja tabia ya kusubiri ziara ya Viongozi wakuu wa Umma ndio waje kueleza mazuri na...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu alialikwa nchini Marekani Kutoa mihadhara katika Vyuo Vikuu mbalimbali Juzikati Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe alialikwa Ubalozi wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama...
6 Reactions
115 Replies
8K Views
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Kesho tarehe 20/5/2023 ni siku ambayo Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli atatajwa kuanzia asubuhi mpaka jioni kwenye uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino ambayo ujenzi wake aliutekekeza yeye...
35 Reactions
180 Replies
11K Views
Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia...
1 Reactions
5 Replies
840 Views
Siku chache zilizopita Marekani walimpiga marufuku Paul Makonda kuingia Marekani kwa kuwa mtu huyu ana tabia za kuvunja haki za binadamu, pia Ana Tabia za kudhurumu uhai wa watu. Jana Makonda...
31 Reactions
62 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni...
4 Reactions
61 Replies
5K Views
Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson. Je watanzania mnajua kwanini...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Unaweza kusema ziara ya Paul Makonda mkoani Kagera imemlipa mwalimu Adela baada ya kupewa gari mpya na Makonda baada ya kumlilia kutokana na shida yake ya kutapeliwa gari lake la kwanza mara tu...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi- Taifa Ndugu Fadhili Maganya (mwenye suti nyeusi) wiki hii Jumanne Novemba 14, 2023 akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Tanga Ndugu Mbezi pamoja...
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Ziara ya Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Pwani ya Ukaguzi wa Miradi ya utekelezaji wa Ilani kwa kipindi cha Januari - Juni 2023. Bagamoyo - Chalinze.
1 Reactions
7 Replies
537 Views
Uwepo wa Makonda ndani ya mfumo hakika si jambo rafiki kwa mafisadi na wezi wa mali za Umma. Majambazi yale hutengeneza wigo mpana wa kutetewa na kusifiwa ili kwalo yaendelee kuiba, kuficha na...
2 Reactions
1 Replies
593 Views
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kubadili mtindo wa maisha kwa kuzingatia...
1 Reactions
0 Replies
739 Views
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
~Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki wa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Back
Top Bottom