Paul Makonda afutiwa shitaka la madai mahakamani

JackisonDubai

JF-Expert Member
Mar 27, 2023
537
1,274
IMG-20230510-WA0001.jpg

Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.
===

konda-lemut.jpg

Makonda na Lemutuzi wafutiwa kesi yao ya madai ya gari

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imefuta kesi ya madai ya gari, iliyofunguliwa na mfanyabiashara, Patrick Kamwelwe dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela (Le Mutuz) kufuatia mdai kutoonekana mahakamani.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Richard Kabate aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo baada ya mawakili wa utetezi Gift Joshua na Simon Mawala kuwasilisha ombi la kufuta kesi hiyo mahakamani hapo
kwa sababu shauri hilo limekuwa likiahirishwa mara kwa mara.

Mheshimiwa Hakimu hii ni mara ya nne mfululizo mdai pamoja na mawakili wake wamekuwa hawajatokea mahakamani, tunaomba shauri hili lifutwe" amedai wakili anayemuwakilisha Makonda katika kesi hiyo, Gift Joshua

Hakimu Kabate alikubali ombi hilo la utetezi na kufuta kesi hiyo.
Katika kesi ya msingi, Kamwelwe anadai yeye alikuwa anamiliki gari aina ya Range lover ambapo kutokana na urafiki wake na Lemutuz na urafiki kati ya Lemutuz na Makonda ndio Makonda aliomba kuitumia ile gari.

Anadai Yeye alimkabidhi Lemutuz gari hiyo ili ampatie Makonda aweze kuitumia wakati alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kwamba katika makubaliano yao ilikuwa ni kwamba angeitumia gari hiyo kwa kipindi cha wiki mbili kisha angeirudisha lakini haikuwa kama waliyokuwa wamekubaliana, baada ya wiki mbili kukamilika bado Makonda aliendelea kuitumia hiyo gari na mpaka leo hajarejeshewa gari yake.

Pamoja na mambo mengine mdai anaiomba mahakama kurejeshewa thamani halisi ya kiasi cha pesa alichotumia kununulia hiyo gari, anadai pesa ya usumbufu, garama za kutokuwa na gari yake kwa kipindi chote hicho.

Pia, Kamwelwe anaiomba mahakama imuamuru Makonda na mwenzake, kumlipa kiasi hicho cha fedha kama fidia anayodai kuwa, imetokana na hatua ya wadaiwa hao kumdhulumu gari lake jeusi aina ya Toyota Rand Rover/Range Rover Ronge Sport, yenye namba 20153.

Katika mchanganuo wa fedha hizo, Sh. 247,243,750, ambazo ni sawa na dola za Marekani 106,250, Kamwelwe anamtaka Makonda na mwenzake, walimpe dola 11,250, kama gharama ya kodi ya kuliingiza gari hilo. Dola 50,000, fidia ya kutwaa gari, pamoja na dola 45,000, ambayo ni thamani ya gari.

Michuzi
 
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.View attachment 2616301
Nawasubili barvicha wala ugoro waje hapa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.View attachment 2616301
SAMIA HAWEZI KUFUTA KESI YA MADAI.......HANA MAMLAKA HAYO
 
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.View attachment 2616301
Ungesema ni habari njema kwa vijana wajinga, waliopungukiwa hekima, akili na weledi.

Makonda na Sabaya ni alama za uovu, unafiki, na kushindwa kwa vijana kwenye uongozi.
 
Ukiambiwa ulete ushahidi wa maovu waliokufanyia utaleta? Kama walikufira mbona huendi mahakamani Sasa ?

Acha kuwa mshamba na kasuku wa maneno ya kulishwa bila ushahidi
 
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.View attachment 2616301
KWA hiyo makonda ni mchapa KAZI?mnatafuta uteuzi tena?mliisha aminiwa mkajiona miungu watu mkawa mnawatukana wazee wenu.kaeni mtulie .....gang nyie.
 
Wewe mchapakazi ulishafanya lipi la maana kumzidi Makonda ambaye anafahamika nchi nzima! Kazi yako kujificha jamii forum kumwongelea Makonda!
Nyinyi nyumbu wa CHADEMA mlishakuwa mataahira hamna sera mbadala kazi kueneza chuki tu za kijinga!
 
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.View attachment 2616301
Elitwege/Etwge/Kukwa Jilala umekuja kivingine
 
Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo.

Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa wamebambikwa vijana wachapakazi wa serikali ya awamu ya tano kimewafurahisha mno Wana ccm wapenda maendeleo na wasiopenda majungu.View attachment 2616301
Ni Mama Samia ndiyo kafuta au ni Mahakama!? Mbona hata Mimi nimeshinda kesi Mahakamani, inamaana ni Mama anatukingia kifua ili tushinde kesi zetu!? Nauliza tu lakini!!
 
Back
Top Bottom