Yafahamu Majukumu ya Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na;
  • Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi.
  • Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM.
  • Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama.
  • Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla.
  • Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM.
  • Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama
 
Hujamaliza,tupe link tujisomee wenyewe
 
Wadau nawasabahi.

Nimeshtushwa kidogo na Matamko mazito yanayotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenzi wa CCM Taifa Bw. Makonda ya kutaka apewe Taarifa za Utendaji za Mawaziri na watendaji wa Taasisi kama TRA n.k

Matamko ambayo mengi ni ya Kiutendaji ambayo nilitarajia Mtendaji Mkuu wa Chama ambaye ni Katibu Mkuu angeyatoa.

Najiuliza je, Kazi za Katibu wa Itikadi na Uenezi ni zipi? Mwenye kuzifahamu atujuze ili tumjue Kiongozi sahihi wa hizo kazi.
 
Mkuu to me Makonda ni Publicity Secretary,sasa kutaka Mawaziri na wakuu wa Taasisi wapeleke kwake taarifa za utendaji wao si sawa na kawadhalilisha.Ndio serikali hii ni ya CCM,lakini mamlaka hiyo ni ya Katibu Mkuu wa Chama na zipo protocols za kichama,si hivi anavyofanya Makonda.

Kijana huyu anapenda sifa sana,anachotafuta ni uadui tu na watu,na ataupata.
 
Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na;
  • Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi.
  • Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM.
  • Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama.
  • Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla.
  • Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM.
  • Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama
To me Kingereza yeye ni Publicity Secretary tu,sasa kajivisha madaraka duh!Waziri Mkuu na wengine wote chini yake wapeleke taarifa za utendaji wao kwake,sijui targets anawapangia yeye.It is so ridiculous.Pomposity ya kiwangi hiki sijawahi kuiona mimi.
 
Mkuu to me Makonda ni Publicity Secretary,sasa kutaka Mawaziri na wakuu wa Taasisi wapeleke kwake taarifa za utendaji wao si sawa na kawadhalilisha.Ndio serikali hii ni ya CCM,lakini mamlaka hiyo ni ya Katibu Mkuu wa Chama na zipo protocols za kichama,si hivi anavyofanya Makonda.

Kijana huyu anapenda sifa sana,anachotafuta ni uadui tu na watu,na ataupata.

Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi
 
Makonda ni mtu mwenye ulemavu wa kiburi cha madaraka hasa akisha yapata hilo ndilo tatizo lake kubwa
 
Yupo sahihi chama kimemtuma, hatuitaji watendaji wabovu...

Haya mambo ni kawaida katika chama chetu ktk kuisimamia serikali na watendaji wake

7BBADA2D-057C-4058-8833-EF916ECF1482.jpeg
 
Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi
Chama lazima ki-stop this nonsense.Majuzi nilimsikia akim-reprimand Waziri mmoja wa Kanda ya Ziwa,nilimhurumia sana yule Waziri,na yeye nadhani hajitambui.
 
Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi
Wazembe serikalini ni wengi sana, acha waaibishwe, acha wadhalilishwe, Bila kuchukua hatua Yesu atarudi atatukuta hapa hapa
 
Yupo sahihi chama kimemtuma, hatuitaji watendaji wabovu...

Haya mambo ni kawaida katika chama chetu ktk kuisimamia serikali na watendaji wake

View attachment 2811956
Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his damn business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
 
Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi
Huu ni mkakati wa kutaka kuwapunguza pembe ambao wamekuwa ni vichwamaji kama Nape, Mwigulu na January Makamba. Wanajiona wao ni untouchable. Unakumbuka juzi alimpigia Kidata akamshiti na watu wakamcheka Makonda?

Sasa anamrudi maana Samia alisha mshindwa Kidata. Hata Majaliwa alipoeenda kuongea na Wafanyabiashara wa Kariakoo, Kidata hakwenda pamoja Waziri wake alikuwepo. Kidata amekuwa Problem sababu ya mtoto wa samia. Huu mkakati pia ni moja ya kumsafisha Samia kwa kumteua Sofia Mjema ambaye alipwaya hakuna mfano.
 
Back
Top Bottom