Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,285
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.

IMG-20230510-WA0000.jpg
 
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Gazeti la kufungia mihogo hili ,japo simkubali Tundu ila hawa raia mwema wa hovyo sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xhochote kitokeacho kwa sasa ni jambo la kheri Kwan MAGUFILI ajishajiletea umauti mwenyewe!!!!

Celebrate, celebrate, celebrate....tunalala, kuongea, kuwasema, kukosoa, kushauri kwa aman kwan jini magufuli alishatoweka

Team magu kamfufueni MUNGU WENU chattle
 
✌️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🇧🇪
 
Acheni kuchochea migogoro, hata Msigwa mlisema hivo hivo alivopishana na wenzake hadharani. Kwenye chama hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa na hii ndio demokrasia. Hakuna mgogoro Wala Nini kama mnasubiri Chadema kupasuka mnapoteza muda tu.
Aisee, Ati ni Demokrasia kutoswa. Wengine mmewaita Wasaliti....CHADEMA Nao!
sasa msinibugudhi hapa na bandiko langu "Nina uhuru wa Kutoa maoni" ndio Demokrasia yenyewe 😂

😂✌️
 
Aisee, Ati ni Demokrasia kutoswa. Wengine mmewaita Wasaliti....CHADEMA Nao!
sasa msinibugudhi hapa na bandiko langu "Nina uhuru wa Kutoa maoni" ndio Demokrasia yenyewe [emoji23]

[emoji23][emoji3577]
Hahaha
 
Xhochote kitokeacho kwa sasa ni jambo la kheri Kwan MAGUFILI ajishajiletea umauti mwenyewe!!!!

Celebrate, celebrate, celebrate....tunalala, kuongea, kuwasema, kukosoa, kushauri kwa aman kwan jini magufuli alishatoweka

Team magu kamfufueni MUNGU WENU chattle
Unateseka sana Pole aisee. Gazeti halikumtaja, umekuja kumtaja wewe. Wacha We!
Mna Celebrate Lissu kutoswa??
 
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Atooosweeeee
 
Aisee, Ati ni Demokrasia kutoswa. Wengine mmewaita Wasaliti....CHADEMA Nao!
sasa msinibugudhi hapa na bandiko langu "Nina uhuru wa Kutoa maoni" ndio Demokrasia yenyewe 😂

😂✌️
Wapi katoswa? Acheni utoto.... Lissu anaelekea kigoma kuongoza mikutano ya chama Sasa katoswa lini na nani? Chadema Ina mshikamano kuliko wakati wowote ule
 
Hako ni ka sripti chao wenyewe.
Yaani sicheki mitufuano yao, bali jibu la zitto junia. Aisee! Yaani inathobitisha yaleeee...kuwa wana visasi binafsi, manake mantiki aliyotumia.....wacha kwanza waingie.
 
Lissu ni typical Magufuli katika kusema hovyo sema tofauti Lissu yuko upinzani na hajawahi kuwa Rais. Wote wawili ni hatari kuwapa madaraka ya juu kabisa ya kuongoza nchi. Tumejifunza kwa Magufuli tusirudie makosa hata kama upinzani watachukua nchi lakini LISSU hafai kuwa Rais.

Post zangu za nyuma nimemtetea sana Lissu kwa umahiri wake kwenye sheria za madini na mazingira, nimemtetea wakati Magufuli ananyima haki zake baada ya kumpiga risasi 16
 
Raia Mwema ndiyo limekuwa la.kisengerema hivi? Wajifunze kwa Tanzanite la Musiba. Inasikitisha sana gazer lilokuwa linaheshimika leo limekuwa la kipuuzi hivi.
 
Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.

Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Kupoteza muda kwa mambo yasiyo halisia ni kujitoa ufahamu.

Lisu ametoswa na nani?

Lisu ametoswa katika nini?

Kama ametoswa, hiyo mikutano anayoifanya anaifanya kwa umbrela ya chama gani?

Kati ya tasnia iliyokosa watu wenye weledi, ya kwanza ni tasnia ya habari. Wamebakia kama wambea wa mitaani. Wanashindwa kufuatilia mambo ya maana kama report ya CAG, wanabakia kuokoteza umbea. Analysis hakuna, reasoning zero, weledi hakuna. Ndiyo maana watu wakitaka kupata habari za uhakika, wanatafuta BBC, Aljezira, CNN, wakati jambo limetokea Tanzania.
 
Unateseka sana Pole aisee. Gazeti halikumtaja, umekuja kumtaja wewe. Wacha We!
Mna Celebrate Lissu kutoswa??
Tuna celebrate MUNGU kutuamua kwa haki....

Alipenda kujiona yeye MUNGU huyo MAGU...mtu alikosana na babayako hukoooo kwenye siasa zao, anakuja kuwaandama watoto MTU mara muhojiwe na wasiojulikana, mara mshikiliwe.....huyu hakustahili kbs kuwa mwenyekili wa Ccm
 
Wapi katoswa? Acheni utoto.... Lissu anaelekea kigoma kuongoza mikutano ya chama Sasa katoswa lini na nani? Chadema Ina mshikamano kuliko wakati wowote ule
Bandugu, wote tumesoma Gazeti lililoandika hayo, sasa mie naona kana unataka uniandame badala uliandame Gazeti lililoandika hayo. Aisee

Na Mshikamane kweri kweri manake ndio Demokrasia hiyo au sio. Ngoja nitafute walichoandika, nampigia boda akanitafutie nilibandike kwenye fremu gazeti hili. Aikambe
 
Tuna celebrate MUNGU kutuamua kwa haki....

Alipenda kujiona yeye MUNGU huyo MAGU...mtu alikosana na babayako hukoooo kwenye siasa zao, anakuja kuwaandama watoto MTU mara muhojiwe na wasiojulikana, mara mshikiliwe.....huyu hakustahili kbs kuwa mwenyekili wa Ccm
Soma Gazeti wewe. Usijiondoe ufahamu uharibikiwe Asubuhi kuita wafu. tsk tsk.

Yaani una hasira na Gazeti.? Duh
 
Huko Chadema wamechanganyikiwa na asali.

Mbowe anapanda jukuwaani akiwa kalewa mbwii.

Huku anatishia wanachama wataomkosoa Rais.

Kinachoendelea Chadema na Rais Samia ni aibu ya kitaifa.t
 
Back
Top Bottom