Kwa takwimu nilizonazo ni kuwa Tanzania ina majimbo 264 ambapo ni Wabunge 264 bila kujumuisha Wabunge wa Viti Maalumu na Wabunge wa kuteuliwa na Rais.
Katika majimbo hayo, jimbo lenye watu wengi...
Wakuu JF,
Greetings and I hope you are doing well.
Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa...
"President Magufuli needs to listen this. Too much taxes kill economy. For example Tanzania has 30% tax and 20% Value added Tax” ~ Mr. Senator
Some African tax rate is highest in the world. In...
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya...
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na...
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya...
Wengi wanadhani Komredi Makonda ana jambo lake na CHADEMA, hapana Mwenezi hana Shughuli yoyote na CHADEMA
Komredi Makonda ana Jukumu moja tu la kuhakikisha CCM chini ya Mwenyekiti Rais Dr Samia...
Sasa hivi naanza kukubaliana na wanaosema ukiwa mwanasiasa akili zako inabidi uziweke mfukoni kwanza
Ukifuatilia yanayoendelea kwa hivi sasa kati ya CCM, Makonda na wananchi "wao" unaweza...
Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya...
Watu wanaweza kuhamishwa na kuishi magorofani lakini wanyama, mifugo, madini na kilimo lazima viishi ardhini, Mwita hataki watu wa tarime wasogezwe kupisha mbuga ya Serengeti lakini anaona ni sawa...
Leo tarehe 16 Novemba, 2023 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Kilumbe Shaban Ng'enda imetembelea na kukagua miundombinu ya umeme...
Leadership is not about authoritative role we hold in an organisation,rather it is about the choice of actions we prefer to take.
Donald McGannon
Ndani ya muda mfupi tokea alipoteuliwa kuwa...
Kitendo cha Paulo Chritiani Makonda kuteuliwa kuwa Katibu Wa uenezi wa chama kikubwa yaani ccm Barani Africa inasemekana kimemshitua Ndugu Yetu Tundu Antipasi Lisu Mzimu unao ishi na kutembea...
RC HAPI AWASHUKIA KINANA, MAKAMBA, MEMBE
Asema muda wao wa utumishi umekwisha ni vema wanyamaze kumuacha Rais Magufuli afanye kazi.
“Shambulio dhidi ya Rais ni shambulio letu sote, ni shambulio...
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Victoria Kwakwa ameitaja na ameipongeza Tanzania kuwa kinara na mfano katika utekelezaji wa programu ya uendelevu wa...
Mwanzoni Makonda akiwa ndiyo ametoka kuteuliwa nilidhani ataishia umbali wa kutupa jiwe. Nilikosea kufikri hivyo kwa sababu nimekuja kubaini yafuatayo;
1. Mikutano ya Makonda watu wanahudhuria...
Angalia hapa kupitia Facebook
Angalia hapa kupitia youtube
Soma ripoti ya kwanza ya mchanga wa madini => IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.