Ina maana Marekani hawakukosea kuhusu Makonda?

Ina maana Marekani hawakukosea kuhusu Makonda?

Elice Elly

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
1,267
Reaction score
1,593
Siku chache zilizopita Marekani walimpiga marufuku Paul Makonda kuingia Marekani kwa kuwa mtu huyu ana tabia za kuvunja haki za binadamu, pia Ana Tabia za kudhurumu uhai wa watu.

Jana Makonda ameonekana akifurahia mtoto wa Mbowe kukutwa na Corona, ni wazi sasa kuwa Makonda anakosa usingizi akiwawazia mabaya akina Mbowe.

Kama hali ndio hiyo je, mtu huyu hawezi kuwa ndiye mpangaji wa Mipango miovu dhidi ya akina Mbowe? Maana'ke inaonyesha wazi kuwa furaha ya huyu mtu ni kuona akina Mbowe wanapata matatizo mbali mbali. Naona Mungu ameamua kutuonyesha sasa Mkuu wa kikosi cha wasiojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elice Elly, Ikumbukwe kabla ya ugonjwa wa Corona haujafika Tanzania, Bavicha na chadema kwa ujumla walikuwa wakikesha mitandaoni wakiombea Corona ije ili wamkomoe na kumcheka rais Magufuli!.

Mwana jamii forum anayeitwa technically alileta Uzi humu akiombea na kushangaa kwa nini Corona haifiki haraka Tanzania!, Naam kama ilivyoandikwa aombacho mtu ndiyo hupewa, kama alivyoomba technically Corona imekuja Tanzania na hatua ya kwanza imeshambulia familia ya boss wake Freeman Mbowe!, nadhani sasa technically atakuwa anarukaruka kwa furaha sana huko aliko

Tuwaonye tu vijana wa chadema kuwa Mungu hana mchezo, mahaba yenu kwa Mbowe yasiwatoe ufahamu na kuanza kuiombea mabaya nchi mkidhani mnamkomoa rais Magufuli.

Sasa hivi mnamkejeli Makonda kwa kusema ni tasa mnasahau kuwa Halima Mdee ana miaka 45 na hana mtoto wala kutundikwa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku chache zilizopita Marekani walimpiga marufuku Paul Makonda kuingia marekani kwa kuwa mtu huyu ana Tabia za kuvunja haki za binadamu,pia Ana Tabia za kudhurumu uhai wa watu.
Jana Makonda ameonekana akifurahia mtoto wa Mbowe kukutwa na Corona,ni wazi sasa kuwa Makonda anakosa usingizi akiwawazia mabaya akina Mbowe.
Kama hali ndo hiyo Je! mtu huyu hawezi kuwa ndiye mpangaji wa Mipango miovu dhidi ya akina Mbowe? Manake inaonyesha wazi kuwa furaha ya huyu mtu ni kuona akina Mbowe wanapata matatizo mbali mbali.Naona Mungu ameamua kutuonyesha sasa Mkuu wa kikosi cha wasiojulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona umetoa majibu ?
Instagram media - B8BQWAFHAJI ( 367 X 640 ).jpg

Hapa akijifanya anaombewa na viongozi wa dini wenye njaa na waliolipwa posho ili kumtukuza

2292465_tapatalk_1580544818216.jpeg

Hapa akijimwambafai na kutafuta utukufu wa duniani kutoka kwa polisi baada ya kushiriki wizi wa kura Ukonga

IMG-20141102-WA0010.jpg

Hapa ni baada ya kumtandika mtama Mzee Warioba
 
Simlaumu sana sababu hata wapinzani wanachuki sana dhidi ya CCM na serikali.. Ukweli ndio huo hata ukizira...kumsema Makonda ni unafiki
 
Elitwege,
Acha utumwa wa fikra wewe! Marekani hawakukosea kwa Makonda,ni muuaji!
Hayo ya Halima kutokuwa na watoto hayatuhusu maana ni yeye ndiye ajuaye kwanini halafu ni mambo binafsi!Ndio maana humu hujaona tunamsema Mama Samia!
 
Back
Top Bottom