Rais wa Nchi hii Dr John Magufuli anapokea ripoti ya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini ambao husafirishwa nje ya nchi makontena kwa makontena. Ripoti hii itatoa dira na mwelekeo wa miongozo...
Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba...
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote...
Sababu za Makonda kuzuiwa kukanyaga Marekani zimewekwa wazi lakini kuna watu wanatunga hoja za kuhamisha mjadala. Baada ya jana kusema Marekani si mbinguni, leo wameibuka na kudai eti ni kwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar aliowateua hivi karibuni.
Majaji hao ni Khadija Shamte Mzee, Salum...
Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesema juhudi za Serikali ya awamu ya nane inayoongozwa na...
Mhe. Waziri wa Nishati ulituaminisha kuwa katika muda wa wiki mbili kutakuwa na afadhali kidogo kuhusu upatikanaji wa umeme.
Pili ulitueleza kuwa kutokana na ukame ndiyo maana upatikanaji wa...
Salaam, Shalom!!
Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni.
Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya...
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.
Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam - Morogoro umekamilika kwa 100% na mabehewa zaidi ya 45 tayari...
Habari Wadau,
Kutokana na kasi ya serikali ya awamu ya tano katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi, sasa nashawishika kusema kuwa tulidanganywa kwamba matatizo ya Watanzania kutopata...
Amani iwe nanyi
Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi...
Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Clouds Media Sam Sasally Amesema Kuwa Kituo Cha Clouds Hakihusiki na Taarifa zilizosambazwa Kwenda Kumshtaki Mahakamani Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Mbunge wa jimbo la Vunjo Dk Charles Kimei amekalia kuti kavu kutokana na kauli yake yenye ukweli usiotia shaka aliyoitoa bungeni kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo na kukwepa kodi...
Kuna namna ambayo hata kama Sina chuki na mtu, hainizuii kutoa dukuduku lililo moyoni mwangu juu ya mtu huyo.
Binafsi, Leo sijafurahi kabisa kusikia mwamba huyu anarudi kwenye ulingo wa siasa...
Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi...
Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za...
Baada ya Ufisadi wa IPTL, PAP na Escrow kurejeshwa Bungeni, inatajwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Eliezer Mbuki Feleshi na Mwendesha Mashtaka wa Serikali (DPP) Sylvester Mwakitalu...
Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania.
Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.